bila shaka una tabia za kike ndo maana wanakupendaHabari wapendwa,
Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.
Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.
Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.
Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.
Nini msaada wenu tafadhali?
we utakuwa Daudi Bashite wewe si bure. mwezio anapendwa na kina agi hadi kawapangishia majumba makongo.Habari wapendwa,
Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.
Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.
Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.
Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.
Nini msaada wenu tafadhali?
Bishororo kikwetu ni chakulaBro jiheshimu hunijui nini
Utakua na nyota ya VVUHabari wapendwa,

wewe si ndo juzi ulikuja na uzi kuwa ww ni "genious"??Habari wapendwa,

Hamaanishi kuomba msaada anamaanisha ye ni hb so ni kama anajkweza hivi, hebu ngoja nikuulize angekuwa anakataliwa na kila demu unadhani angekuja hapa kuomba ushauri, au angekuwa anatongozwa na mabasha yaani wanaume mamende wanapenda vinyeo do u think angekuja kuomba ushauri?Tatzo la hapa mtu unaomba msaada wat wanaleta mashushu,nyie mnaoweza kumsaidia c mumsaidie hta kwa ushaur,
Tanzania acheni fikra za kipumbavuuHamaanishi kuomba msaada anamaanisha ye ni hb so ni kama anajkweza hivi, hebu ngoja nikuulize angekuwa anakataliwa na kila demu unadhani angekuja hapa kuomba ushauri, au angekuwa anatongozwa na mabasha yaani wanaume mamende wanapenda vinyeo do u think angekuja kuomba ushauri?
HahahhaaaMuhaya kazini.
Wewe utakua na tatizo fulani,may be lile la ushoga au malioo,hawekani mwanaume lijali ukaja mbele ya kandamnasi kua unapendwa sana na wasichana na wamama,hii una maana wewe ni mrembo na mzuri,sasa mwanaume tangu lini akajitangaza ni mzuri ili iweje?,upate wanaume wa kumtongoza?,nenda insta au fb ndio wenzako wanajitangaza sio hapa,huku utaambulia matusi tuHabari wapendwa,