Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

Habari wapendwa,

Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.

Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.

Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.

Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.

Nini msaada wenu tafadhali?
Weka vyeti..
 
Hapa kwnywe private Wew unanjua Mimi kwa taarifa yko Mimi ni mtu mkubwa sana nchii hii
Ww mjivuni....siajabu story yako ni ya kutunga .....bishororo......unapendwa na wanawake......mtu mkubwa nnchi hii.....wenye akili tushakujua ww ni wa dizain gani..
 
Habari wapendwa,

Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.

Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.

Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.

Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.

Nini msaada wenu tafadhali?
Una nyota ya Ngoma
 
Okoka uwe mwanafunzi wa Yesu na uowe mke mcha Mungu. Uwe bize na kazi za kiuchumi.
 
mshomire haya nenda kwa aunt uk ukitoka huko pitia kwa brother marekan then uaingia kwa sisiter canada baada ya hapo unapitia kwa mpwao sweden urudie dubai ukija tz tatizo litakua limeisha
 
Haaah asee inabidi uombiewe wew usije leta balaa ...mtafte Ngwajima
 
Back
Top Bottom