KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Mwanaume mtimilifu hanaga maswali ya hvyo
Jihadhali tusije kukupoteza bro
Jihadhali tusije kukupoteza bro
Aisee mkuu umeona mbal sana...saaaafi!!fala kweli wewe,ushoga wako sogeza mbele huko
Wazazi wako wanalijua hili tatizo lako?Mimi mwanaume sa ka mm naliona ttzo nkae kimya tuuu
Akupendae nawe mpendeHabari wapendwa,
Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.
Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.
Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.
Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.
Nini msaada wenu tafadhali?
wewe itakua una nyota ya chipsi kukuHabari wapendwa,

kijana lijali hawezi kuongea upuuzi kama huo sehemu kama hii,,labda hao mabinti wa uwanja wa fisiHabari wapendwa,
Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.
Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.
Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.
Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.
Nini msaada wenu tafadhali?
Tatizo sio sura "jini mahaba"Weka na picha yako mkuu, tukuthaminishe[emoji23] [emoji23]
Kumbe huyu sambusa kala ban?Haya mapenz yamekamata option nyingi kweli kweli