Ndege wa aina moja huruka pamoja, ukiona anapendwa na wasichana ujue na yeye ni msichana au ana tabia za kisichana...Maajabu! Yaani mwanaume mzima unakaa na kujisifia ujinga. Tangu waanze kuchangayikiwa umenufaika na nini labda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu daahMda sio mrefu utaanza kupendwa na wanaume wenzio
Na ndio ukweli huoNdege wa aina moja huruka pamoja, ukiona anapendwa na wasichana ujue na yeye ni msichana au ana tabia za kisichana...
How are you my love??
Ila hujaitikia salamu yangu...Na ndio ukweli huo
Pole sijaiona! Salama za kuadimika?Ila hujaitikia salamu yangu...
Tuna nini mimi na wewe???
Una nyota ya Ukimwi basiMimi mwaume lijali brooo