Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

Habari wapendwa,

Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.

Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.

Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.

Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.

Nini msaada wenu tafadhali?
Paulo makonda mbona hajamtaja huyu jamaa

Kaathirika huyu c bure
 
Sifa za kijinga! Siyo muda utaja kutuambia unapendwa na wanaume hapa
 
Fuata ushauri kwa Kamanda Sirro amesema anasumbuliwa sana na wadada atakusaidia namna ya kuwakwepa
 
huenda ni msichana mwenzao jichunguze mkuu isije ukawa unakojoa kwa kuchuchumaa
Siku hizi wasichana nao wanakojoa huku wamesi mama, yani utaona ameingiza mkono kwa bibi kumbe anatanua njiaa

√√wasichana acheni kuiga kila kitu lool
 
Wanakupenda kwa kuwa huna madhara unapokaribiana nao! Lakini kwa wengine wakipata nafasi kama hizo in sawa na kumuacha messi na beki mmoja.
 
fala kweli wewe,ushoga wako sogeza mbele huko
Binafsi sijaelewa kwann unamtukana!!... Kama huna cha kukoment bora upite kwani s lazma uchangie kila maada!!.... Labda kama unamjua mhusika hata kama kila mtu aheshimiwe!!...nakuthaminiwa!!... Nafikir ndio lengo la mitandao ya jamii mkuu !!..
 
Back
Top Bottom