bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 677
Sio kila tatizo hutatuliwa kwa kuanikwa kwenye jamii, mambo mengine ni vema kuyatafutia suluhisho privatelyMimi mwanaume sa ka mm naliona ttzo nkae kimya tuuu
Sio kila tatizo hutatuliwa kwa kuanikwa kwenye jamii, mambo mengine ni vema kuyatafutia suluhisho privatelyMimi mwanaume sa ka mm naliona ttzo nkae kimya tuuu
Nmecheka saña kisha nkaamini jamaa anaotaHapa kwnywe private Wew unanjua Mimi kwa taarifa yko Mimi ni mtu mkubwa sana nchii hii
Ungekuwa mtu mkubwa usingeleta uzi wa kike hapaHapa kwnywe private Wew unanjua Mimi kwa taarifa yko Mimi ni mtu mkubwa sana nchii hii
Mtu mkubwa sio BASHITE huyuuuUngekuwa mtu mkubwa usingeleta uzi wa kike hapa

waza mambo ya maana.myaka 27 sio mtoto wewe unawaza vitu vya kipuuzi.Habari wapendwa,
Poleni na majukumu ya kazi na kujenga mimi ni kijana wa miaka 27 kimaumbile nipo kawaida mrefu wa wastani, maji ya kunde kifupi najiona mtu wa kawaida lakini nashanga jinsi watoto wa kike wanavyonisumbua na kujirahisisha kwangu wengine mpaka wanadiriki kunitongozaa na kunihonga bila kuomba.
Tatizo hili nimeanza nalo toka mdogo nilipoanza kujitambua ikafika kipindi mpaka wakinamama wananitaka kimapenzi kinguvu hata ikafikia kipindi mpaka mahouse girls wanataka niwape utamu nikawa sina raha wasichana wanapigana kisa mimi wengine kunywa mpaka sumu.
Mpaka sasa hivi sielewi imekuwa kero sasa wake za watu wananisumbua wasanii wakubwa wazazi wa marafiki zangu naumia sana sitoki nje sasa hivi naogopa wasichana wakiniona wanachanganyikiwa.
Kwa tatzo hilo nikaamua kwenda kwa ustaadhi kumwelezea alichoniambia sitaki kuamini eti na jini linalonifanya nipendwe na nisipoangalia nitapata maradhi mpaka nilitoe, jamani mpaka sasa sijui nifanyeje.
Nini msaada wenu tafadhali?
Mtu mkubwa sio BASHITE huyuuu
Lkn mbona alikataliwa na wema![]()
![]()
![]()
naona huyu mkuu anaotaMkuu naheshimu mawazo na ushauri wako mzuri lakin hapa si mahala pake!!!Man wala ucogope.. just kuwa na msimamo... wakukataaa... wale ambao unaona hawana nia njema. And wala ucogope kutoka nje..
Ww endelea na shughuli zako... lakin kuwa na msimamo na uwe makini.