Haya wakuuSana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana Jf Mie mgeni humu...ila nmetoka kwa heavy break up...its my second break up katika mahusiano na all time naumizwa Mimi tu... Soooooo naomba msaada huwa mnafanyaje mkiachana Ili ile hating isikae moyoni jamaani sitaki kabisa kumchukia mtu Mimi..ila nataka kufanya kama tatizo LA kawaida tu then nilet go...ila najiskia kuchukia sana wanaume help me guys...

Ulikata mti hujapanda mti lazima ukose kimvuli na utaungua na jua mpaka pale utakapojisogeza kwenye kibaraza cha jirani ama upate mwamvuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nao mkuu. Fanya mambo yako.
Inaonyesha huyo aliyekuacha anae doors ndio mana unamlilia lilia?
Be miss independent no body will hurt your little ass!
Sent using Jamii Forums mobile app