Msaada: Namna ya kumfundisha au kuishi na dada wa kazi kwa muda mrefu

IqraNI

Senior Member
May 16, 2020
140
136
Habari ya jumapili wadau.

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninaomba msaada wenu tafadhali.

Nina dada ambaye ana umri wa miaka 19(lakini kimuonekano anaonekana ni mkubwa), lakini dada huyu hajui kazi za ndani iwe kuosha vyombo, kupiga deki au kupika.. Alipofika alielekezwa majukumu yake na akasema anayaweza.

Changamoto nyingine kubwa ni kuwa yuko bize mno na simu, kuchat na kuongea.. Mahali alipo kuna mabinti wengine lakini wana soma na mmoja anashughuli binafsi hali inayopelekea kukosekana msaada nyumbani kwani kuna mgonjwa anayehudumiwa na mtu mwingine na anahitaji uangalizi wa karibu.

Naomba mniwie radhi kwa uandishi ila ninahitaji sana msaada wenu.. Natanguliza shukrani.
 
Mwelekeze majukumu yake anayotakiwa kuyatimiza.

Pili:Mpe uhuru naye wa kunyanduliwa

NB:Utofauti wa mke wako na huyo house girl ni majina tu, na labda kama mkeo amesoma basi kamzidi elimu tu ila house girl Wana mbususu tamu sana
 
Kuhusu majukumu yake aliambiwa na akasema anaweza
Hajamaliza hata mwezi, huo uhuru
 
Safiri kama wiki hivi mwache na mumeo. Mwachie maagizo ya kusafisha nyumba na kutandika kitanda cha mumeo. Ukirudi atakuwa kishajua
 
Huyo mrudishe hafai. Anayekuja kufanya kazi huwa anajipangia muda wa simu na muda kazi. Sasa huyo hajui kazi yoyote ni mzigo tu na hauwezi kumbadilisha
 
Naomba kuuliza huyo mdada aliyekutea ulitumia kiasi gani hadi kufika kwako...
 
Kwanza ukimpokea dada mfanyie interview namaanisha muulize malengo ya yeye kuja kufanya kazi ni yapi? Ukiona mtu ana babaika kujibu jua huyo hakai maana hajielewi amekuja kufanya nini hata majukumu hawezi kufanya.
Mpe taratibu za nyumbani kwako ratiba nzima kuanzia kuamka saa ngapi, chakula kinaliwa saa ngapi kama una watoto mpe ratiba za watoto kula.
Kama ni mfanyakazi omba ruhusa hata wiki amka fanya naye kazi msichana anayejielewa ukifanyanaye kazi utamuona ni wa aina gani.
Mpe orientation ya mwezi mmoja haja cop mazingira rudusha.
Muhimu kabla hujaagiza msichana muombe Mungu akuletee mtu sahihi
Msichana usimnyanyase ila usiruhusu akuzoee sana. Ili ukitoa maagizo yanafuatwa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
U house girl interview ?

Utadhani mnalipa hela ya maana
 
Kuna kipengere umekiruka,mtume kariakoo na mwenyeji huku nyuma kagua begi lake kuona kama kuna hirizi,huyu alieenda nae kariakoo akifika mtaa wa congo amchenge apotee,jioni wamtangaze ITV akitoka hapo akili zitamkaa sawa
 
Back
Top Bottom