Msaada: Naomba kujua kirefu cha herufi IPP inayomilikiwa na Reginald Mengi

Uko sahihi kabisa,
Zamani PPF ilijulikana kama Parastatal Pension Fund,
Lakini sasa PPF ndio imekua jina kamili linalojitegemea, hivyo mfuko unaitwa PPF Pension Fund,
Angekua huyo jamaa yako angedhani PPF Pension Fund iko wrong sababu angeitafsiri kama Parastatal Pension Fund Pension Fund kumbe PPF imegeuka kua jina kamili kabisa kisha ndio Pension Fund
Madogo wanajifanya wajuaji....
 
Madogo wanajifanya wajuaji....
Umeaona eee???
Anadhani bado CRDB inamaanisha Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini,
Hajui hata PPF now imeruhusiwa kutoa mafao kwa mfanyakazi wa shirika/kampuni/taasisi yoyote ile au hata asieajiriwa ndio maana neno "Parastatal" limekufa lakini wame- maintain jina lao la PPF
 
Cooperative rural development bank ndo kiref cha crdb
Ilikuwa zaman ilipobinafsishwa ikaitwa crdb,zaman ilimilikiwa na serikali ilikuwa inaitwa benk ya ushirika na marndeleo vijijini soma umiliki was sasa was crdb,so crdb bank,neno crdb halona kirefu kwa sasa
 
Umeaona eee???
Anadhani bado CRDB inamaanisha Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini,
Hajui hata PPF now imeruhusiwa kutoa mafao kwa mfanyakazi wa shirika/kampuni/taasisi yoyote ile au hata asieajiriwa ndio maana neno "Parastatal" limekufa lakini wame- maintain jina lao la PPF
Kweli kabisa. Maana kubadilisha jina inachanganya wateja. Unabaki na jina maarufu lakini lisilo na maana ya jina la awali. Unashangaa madogo wanaeleweshwa badala ya kushukuru wanakashifu na kutukana.
 
Industrial Projects Promotions = IPP

Hapo penye red nadhani utakuwa si mkweli! Kwa sababu IPP imeanzishwa si zaidi ya miaka 25!
MTO comment amesema yeye ameishi Dar zaidi ya miaka 30 siyo IPP ina zaidi ya miaka 30
 
Ndugu zangu msinicheke naomba mniambie waht does IPP stands for, nimeulizwa nimeshindwa kujibu!
Inaonekana nyinyi wote ni wtt wa juzi tu eee! Hamjui maana au kirefu cha ipp? Kifupi maana yake ni INDEPENDENTS PARTNERSHIP PRODUCT.
 
Inaonekana nyinyi wote ni wtt wa juzi tu eee? Yaani hamjui maana au kirefu cha ipp? Kifupi maana yake ni INDEPENDENTS PARTNERSHIP PRODUCT. ilishamiri sana miaka ya 1992-mpaka miaka ya 2000 hivi viwanda vya mikocheni vilikuwa vingi ni vya mengi, alikuwa akitengeneza sabuni like revola, dawa za miswaki golgete nk baadaye ameviuza viwanda kwa kina Patel sasa wanazalisha nondo, mabati ya kiboko, rangi za kiboko nk.
 
Da we jamaa unajua sn yaan kweli kabisa ilikuwa ndio njia yangu kwenda cine club mikochen kuogelea enzi hizo ni mikorosho tu maeneo hayo umenikumbusha mbali sana mkuu!
 
Back
Top Bottom