Msaada: Naomba kujua kirefu cha herufi IPP inayomilikiwa na Reginald Mengi

Hakuna kitu kama CRDB bank mkuu, ni either CRDB au CRD bank. Asante
Unamjibu SMU kwa kujiamini kabisa mkuu, embu soma hapo chini

CRDB Bank Plc is a commercial bank in Tanzania. It licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator

Haya majina huwa yakipita stage flani za mabadiliko hubaki kama jina pasipo kuangalia kile kirefu chake maana benki ya CRDB zamani ilikuwa ikijulikana kama benki ya ushirika na maendeleo vijijini ila baadae ikabadilika ikawa CRDB 1996 Bank baadae CRDB Bank Plc

Soma link mkuu uone inaitwa CRDB Bank

Home - CRDB Bank
 
Aiseee umeojiona unajua mwenyewe. CRDB kirefu kilikua ni Corporative Rural Development Bank, lakin baada ya mwaka 1996 CRDB kuingia ubia na wadenmark ikawa CRDB BANK yani kirefu kikafutwa and now ni CRDB BANK PLC.
Kama ulikuwa kichwani mwangu hapo jinsi ulivyomjibu hapo post #33 (tumemjibu kwa pamoja na kwenye kutuma post zetu zikafutana
 
Unamjibu SMU kwa kujiamini kabisa mkuu, embu soma hapo chini

CRDB Bank Plc is a commercial bank in Tanzania. It licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator

Haya majina huwa yakipita stage flani za mabadiliko hubaki kama jina pasipo kuangalia kile kirefu chake maana benki ya CRDB zamani ilikuwa ikijulikana kama benki ya ushirika na maendeleo vijijini ila baadae ikabadilika ikawa CRDB 1996 Bank baadae CRDB Bank Plc

Soma link mkuu uone inaitwa CRDB Bank

Home - CRDB Bank
Asante kwa elimu bro, ndo maisha haya tunajifunza kitu kipya kila leo na ndo maana ya uwepo wenu. asante
 
Asante kwa elimu bro, ndo maisha haya tunajifunza kitu kipya kila leo na ndo maana ya uwepo wenu. asante
Usijali mkuu maana mnapojadiliana kwa upendo na kila mmoja anapojaribu kuonyesha kile anachofahamu...mwisho wa siku mnakuja na kitu cha pamoja (common understanding) kwani sifa ya binadamu ni kutofautiana hoja yaani hoja moja inaweza ikaibua hoja nyingine ya nguvu kujazia hoja ya awali na kutoa version mpya kama tulivyojifunza hapa
 
Hapana... ni CRDB bank.

CRDB ni jina linalojitegemea... usije ukadhani hiyo "B" kwenye CRDB imesimama kwa neno Bank. Utakuwa umeingia chaka
Uko sahihi kabisa,
Zamani PPF ilijulikana kama Parastatal Pension Fund,
Lakini sasa PPF ndio imekua jina kamili linalojitegemea, hivyo mfuko unaitwa PPF Pension Fund,
Angekua huyo jamaa yako angedhani PPF Pension Fund iko wrong sababu angeitafsiri kama Parastatal Pension Fund Pension Fund kumbe PPF imegeuka kua jina kamili kabisa kisha ndio Pension Fund
 
Back
Top Bottom