Msaada: Naomba kujua kirefu cha herufi IPP inayomilikiwa na Reginald Mengi

Tulipoanza 1987 ilikuwa "projects" sijui baadae kama ilibadilika. Ilikuwa sawa na IPS=Industrial Promotion Services ya Aga Khan
Nadhani ilibadilika na kuwa "Industrial Productivity Promotion" lakini kwa sasa naona kama hiyo acronym yenyewe "IPP" ndio imekuwa jina (kama ilivyo "CRDB" ya CRDB Bank).
 
Nadhani ilibadilika na kuwa "Industrial Productivity Promotion" lakini kwa sasa naona kama hiyo acronym yenyewe "IPP" ndio imekuwa jina (kama ilivyo "CRDB" ya CRDB Bank).

Unachanganya na IPI ambayo ni Industrial Productivity and Innovations ya UDSM kama sikosei. Nimeasisi IPP mimi mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Unachanganya na IPI ambayo ni Industrial Productivity and Innovations ya UDSM kama sikosei. Nimeasisi IPP mimi mwenyewe
Jaribu ku-google "IPP, Industrial Productivity Promotion, Mengi" uone unachopata. Hata hivyo kama wewe ulihusika na kuasisi, nakubaliana na wewe mkuu (google sio 100% reliable).
 
Back
Top Bottom