Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Aisee ikatae hiyo roho ya kutamani wanaume wenzio nenda kanisani ukaombewe
Akaombewe wakati makanisani kuna kesi malaki ya mapadri na wachungaji ambao wapo kama yeye na walijitahidi kuficha ikashindikana? Mala ngapi tumeskia shekh ka--- wanafunzi wake na wanakamatwa? Ulaya waliua sana watu kama hawa na Hitler ndo alikuwa kiboko lakini wameshagundua kuwa mtu haamui ila ni genes zinazoamua. Kama akiweza kuzicontrol anaweza akaishi kiseja au akawa na mpenzi wa jinsia tofauti ila haitadumu. Watu waliokaa nje naomba muwe mnajaribu kuwaelewesha watu kuwa haya ni maumbile. Sisi huku kwetu hasa Tanzania tunajifanya ni laana wakati tuna misamiati kabisa ya jinsia hizo. Muulize msukuma kama ana jina la kisukuma la mtu wa aina hiyo au mhaya. Pwani wamekuwa na genes corruptions kwa muda mrefu ndo maana wana majina ya watu hao.
 
Narudia "Mungu alimuumba mtu mke na mtu mme"
Suala la visual, hearing and physical imparements ni nshu nyingine lakini sio hii ya kishoga.
Mwalimu ,unaonekana uelewa wako ni mdogo madamme!
ahsante,na hongera kwa wako kuwa mkubwa ndugu!
 
Watu wengi hawatakuelewa,tatizo letu ni kufumbia macho vitu kama hiv au kulaumu wazungu au mitandao,lakini haya mambo yapo sana.mimi niliwahi kusoma na mtu anaongea kama mwanamke na matendo yake kama demu kabisa,tulikuwa shule ya msingi,yaani nnachokumbuka kuhusu yule jamaa ni kumuona kila wakati akikimbizwa na wanzake wampige,n ukimpitia karibu kama mpo kundi unaona uso wake unakuwa wa woga ,akifikili mnaweza kumpiga.
Mpaka leo nikikumbuka najiskia vibaya sana hakukuwa na mtu wa kumsaidia.
tumejenga mazoea ya kulaumu kila kitu!
nawaza mtu mpk anaamua kuandika hapa!
ameshahangaika kiasi gani?
CASES ZA MAPACHA WALIOUNGANA VIUNGO ,KAMA HIZO ZIPO
KWANINI TUNAKTAA KUWA KUNA WATU NI MTU MMOJA LAKINI VILICHANGANYANA VYA WATU WAWILI!

huu ni ulemavu!
SITETEI USHOGA!
lakini WAT IF HUYU NI MIONGONI MWA BIOLOGICAL DEFORMATIONS ZINAZOWEZA KABISA KUELEZEKA?
 
hizi dawa nitazipata wapi
muhimbili upande wa tiba ya akili pia wanaweza kukusaidia!

jitetee my dear!
USIKUBALI KWA KUKATISHWA TAMAA KUWA WEWE NI SHOGA!
KATAA NA KATAA TOKA NDANI!
DO SOMETHING ABOUT IT!
 
Pole, hadi ikabidi ufungue ID mpya kwa ajli ya kupost tatizo lako hili!!!
 
Hayo ni maajabu ya dunia, hebu waone viongozi wa dini wa dhehebu lako bila shaka utapata ufumbuzi wa tatizo lako.
 
Naanza na haya maswali kwanza..;

1. Je, ulishawahi kuota unaingiliwa kimwili na mwanaume mwenzako!?

2. Ulishawahi kushiriki hivi vitendo ulipokuwa mdogo(na marafiki au kubakwa)!?

3. Maumbile yako yapo kiume..au una mwili soft, hips zimetanuka kuliko kawaida na kifua chako kipoje!? ..Ntaomba unijibu...

Haya tuendelee. Iko hivi mkuu...

1. Kuna sababu nyingi ila moja wapo ni hili tatizo la kisaikologia na usipolisolve lina madhara makubwa baadae cuz hizi pande mbili zinazovutana kuna moja lazima itashinda tu na itakayoshinda alwayz ni ile mbaya.... Jitahidi kujiepusha na kuwatazama sana wanaume cuz itakufanya iyo tabia izidi na kama hadi unaota hizo ndoto hapo ni mbaya zaidi mkuu..

2. Wengine wazaliwa hivi (siamini kama wewe ni mmoja wao) ingawa huwa wanapona baada ya tiba fulani hivi HOSPITALINI..

Ngoja niishie hapa kwa leo..
Kuna kitu naona wengi tulikua hatuja uelewa vyema huyu bwana,yeye angekua anatamani kuingiliwa asingekua na hamu na wanawake ila ninachoona hatamani kuingiliwa ila anatamani kuingilia na kama alivyo shauriwa na jamaa moja hapo juu ni vyema akatafuta girl moja ambaye atamsave kupoyeza hizo hisia za upande ambao kimaadil sio sawa, sio tamaduni yetu kabisa na ni aibu hata kumuelezea MTU!
 
Duniani jamani watu wamechoka aisee. Unatamani vp mwanaume mwenzio? Embu acha kujiendekeza ukiwa mtoto wa kiume lazima ujue kukomaa embu komaa uishinde hyo hali usituletee aibu. Hizi movie zenu mzoangalia zenye ushoga ushoga ndio zinawaponza...
 
Roho ya shetani inakutesa mgeukie Yesu utakuwa huru kweli kweli
 
wewe anakunegative punish nani kwa madhaifu yako?
hebu kwendeni huko kazi kujihesabia haki tuuu!
we unafkr ni rahisi hivyo unajikuta unatamani mwanaume na mwanamke?
huyu hata hajaanza kufanya mapenzi ya jinsia moja!
ila kuna kitu ndani yake kinamsukuma kuwa ndiyo aina ya mapenzi anataiwa kufanya!
unapomtukana hivyo bila kumweleza nini cha kufanya unafikiri inasaidia?
ukimcharaza viboko kwa situation aliyonayo unasaidia?
ACHENI KUYATAZAMA MASIHA KATIKA BOXI MLILOJITENGENEZEA!


kuna watu wana shida mno na maumbile yao!
NA HAWAFURAHII HIZO HALI!
huyu ni mmoja wapo!
HAUWEZI KUMSAIDIA USIMUATTACK!
haikusaidii wala humsaidii!
Wewe ni mwalimu kwa nilivyokusoma,nimependa sana ustaarabu wako ktk kushauri juu ya swala hii...umeonyesha jinsi ulivyo na upeo mkubwa. Unajaribu kuielewa Dunia na sio mwepesi ya kuhukumu ama hupendi kabisa...Big up naamini unatufundishia vizuri sana watoto wetu.

Kuja kwenye mada,kwaulewa wangu neno bisexual linamaanisha mtu/kiumbe kuwa na jinsia mbili yaaani ya kike na ya kiume,sasa kwa maelezo ya mdau yeye sio bisexual kwani ameshasema yeye ni male.Kwa ufahamu wangu andalili za kutaka kuwa Gay.Kwakawaida ma gay wapo wa aina mbili,kuna gay wa juu na gay wa chini. Gay wa juu yeye hupendelea sana kuwafanya wanaume wenzake..mfiraji.gay wa chini yeye hupendelea sana kufnywa na wanaume wenzake hawa ni kama kina james delicious et al. Kwa muono wangu mdau huyo anaelekea kuwa gay asipopambana ku control hisia zake.

wapo ma gay wenye familia zao na wanatoa dozi kwa wake zao vizuri tu lakini na wao wanapakuliwa huko nje .

USHAURI WANGU KWAKO MKUU NENDA KWA MADAKTARI WA TIBA YA AKILI WAKUPE MUONGOZO JUU YA KUTOKA HAPO ULIPO UKIPUUZA UTAJIKUTA KTK IRREVERSIBLE STATE NA UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE.
 
Sio tatizo lako pekee yako Ila wachache wanao jiweka hadharani ... Tafuta mtaalamu wa psychology update ushauri
 
Tamaduni zetu twazifata?!! Kulawiti na kubaka watoto wadogo ni tamaduni za kiafrika? Lakini watoto wanabakwa wanalawitiwa tena na baba, babu, mjomba, jirani zao . Kumbuka kuwa twaweza kuwa wa tamaduni moja lakini kila mmoja ana utofauti wake (individual difference). Tukatae tukubali hawa watu wapo sana.
Ukichambua historia za makabila mengine unaweza hata ukaomba tamaduni nyingine tusizifuate. Kuna makabila Afrika walikuwa wakiteka vijijini vya jirani wanachukua vijana wa kiume na kufanywa wake au zawadi wa wapiganaji.
 
Habarini wandugu,

Natumai mpo vyema sana mpaka nimefikia kuandika uzi huu ni kujiamini sana ila ndo ukweli na mficha maradhi kifo humuumbua.

Ok lets continue;

Nimekua nikivutiwa na both sex yaani men and women na sijui ni kwanini hivi ni mimi mwenyewe tu? Yaani hii hali inanitesaga mno.

Huwa mpaka najihisi ni mimi tu mwenye hali hii, hichi kitu kinanifanya najishangaa sana moyoni kuvutiwa na both sex yaani kuvutiwa na mwanamke na mwanaume.

Nahitaji ushauri nifanyeje juu ya hili maana sijui.
Yaani wewe nawe unatamani kupigwa dushe au unatamani kupiga wanaume wenzako?
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

I think you are beautiful. Kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Umekosea maandishi au ndio usahihi wewe unanwambia mwenzako yuko sahihi kufuata hisia, lkn unaandika kuwa tuwafundishe watu kuhusu abnormalities za kwenye jinsia za watu.
Sasa abnormalities siku zote ni kitu undesired how comes leo tuwafunze watu kukubali kuwa abnormal?

Sexuality kufundishwa secondary schools unataka zimsaidiaje mwanafunzi?
 
Chakula cha mbuzi ni majani, ukimpikia nyama iliyokaangwa kwa iliki na karafuu kutoka dubai hatakula hata kama anataka kukata roho kwa njaa.

Kudhauraulika hakuzifanyi hisia zife.

Hakuna mazingaombwe yoyote ya kumfanya mtu abadilishe hisia zake.

There is no something like WHY DO I LOVE THIS PERSON, OR WHY DON'T I?

Hakuna maelezo wala tiba juu ya kumpenda au kumchukia mtu.

Huwezi ukaelezea kwanini unahisi hivi na kwanini haujahisi vinginevyo.

Unahisi , ndivyo hivyo na hakuna namna!!!
Acha kutengeneza theories zako za kujihalalishia kuliwa tigo. It is ok kuwa na hisia lkn you need to control.
Nakuambia kwa wanaume straight huwa anapata hamu ya kupiga game na most of girls anaokutana nao, so ikiwa kila hisia ifuatwe order itatokea wapi?
It is ok kwako na jamaa yako kukubali kuliwa Ila that cant make the act kuwa ni normal.
What about risk za magonjwa mnayoambukizana, what about kupanuka tigo na kuishi kwa nsaada wa pampers? Why ukiliwa then uanze ku act kama demu? If it is ok kuliwa then dont act odd, mnakuwa in btn male and female!
I am not homiphobic Ila kiukweli kutiwa sio normal ni tatizo kwa anayeona hawezi kubadilika na aendelee lkn sio normal. Shida yangu ni ku-normalize kitu ambacho sio normal kwako inaweza kuwa ok, lkn nasisitiza hiyo sio normal.

By the way paedophilic pia huwa wanavutiwa na watoto na huwa hawawezi kuvumilia hisia zao, je nao waachwe na hisia zao ziheshimiwe? Wapo watu wanapenda kubaka au kuumiza wenzao kwenye ngono, nao hisia zao ziwe normalized?
 
Back
Top Bottom