Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Take it easy mkuu!!!
1. Tafuta mpenzi wa kike aliechangamka namwenye kukuweka bize kiakili, kimawazo na kimwili...
2. Acha kabisa kuangalia picha za ngono haswa za jinsia moja... Zinahamasisha sana
3. Shika sana dini mkuu! Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kukulinda na hili. Kama sio mtu wa kusali ni bora uanze. Atakuondolea hamu zote za ajabuajabu
4. Epuka mazingira yanayoamsha hisia juu ya wanaume wenzako.

Yaani umezaliwa in a wrong country kudhani kwamba kuna atakaekushauri ujaribu huo uoande wa pili.
Kwanini unadhani anahitaji kuacha?

Ni kwasababu haifai, au kwasababu
watu wanadhani haifai?

Kudhani kutokufaa, haifanyi iwe kutokufaa.

Unadhani haifai kuwa bisexual?
 
Mkuu;
Yaani mimi sijamuelewa kabisa kabisa. Unamwambia amtafute mwanamke atakaye mweka bize kiakili. Mbona una maneno ya kiajabu?? Wewe ungemsaidiaje akikufikisha kwake halafu mnapovuana akakuomba umlalie tu mgongoni au umt.iiliie dole lako?? Ungemsaidiaje??
Mwambie wazi wazi kuwa, In this country, there is no cure for people like him. Hatujafika huko
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

Wengi wanaotoa matusi na kukujeli ni watu duni na washamba wasio na ufahamu wowote wa masuala ya ujinsia, hisia, na mahusiano.

Matusi yao na ufahamu wao duni visikufanye ufifie moyo. I think you are beautiful.

kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Kuna wakati busara kama zako zinakuwa na maelezo potofu sana kwa jamii. Maana umeishia kulaumu na kutaka watu tujifunze jinsia na jinsi na sio wanawake na wanaume, kuna mambo ya msingi ambayo tunatakiwa kutlyajua kabla ya kuhalakisha mambo yasiyo ya kawaida kwa hoja za kawaida. Huyu anatamani wanaume na wanawake. Anatamani wanawake kufanya nao (Ngono) je tamaa ya wanaume ni Yeye afanyiwe ngono na mwamume mwingine kwa jinsi alivyomfanyia mwanamke au yeye amfanyia mwamume kama alivyomfanyia mwanamke.maana tamaa inayosemwa hapa ni ya ngono na sio vinginevyo
Kwa kuwa hata ambao ni wanaume tunawatamani wanawake lakini sio kwa minajali ya kuwa kila mwanamke unataka ufanye naye ngono na hakuna kanuni ya kutamani na kufanya ngono
Let us be serious on this
 
Kweli hiyo ni changamoto.
I simply can Imagine how you feel. Nna uhakika sio wewe tu mwenye shida hiyo. But pia naamini sio hali ya kawaida( sio common kwa watu)
Watu wengi wana jinsia moja na wanavutiwa na jinsia mbadala.

Hali hiyo inaweza kutafsiriwa kutokua sahihi kulingana na utamaduni wa jamii husika uliyopo. Yaani itategemea umelelewa kwa imani gani? imani ambazo walau ni kubwa nchini kwetu. Ukristu, Uisilam, na za asili.
Hivyo itabaki kwako wewe.
Je wewe ni muumini wa imani yeyote kati ya hizi?
Kama ni muumini je. Kwa imani yako ya kweli, ya moyoni mwako. Uko tayari kufuata mfumo wa imani uliyo kuzwa nayo( ya dini husika) na unaamini inakupeleka mahala sahihi na unaamini miongozo yake?
Kama unaamini basi nenda kwa kiongozi wa dini yako unayemuamini ujaribu kupata ushauri na Muongozo juu ya kukabiliana na hiyo changamoto.

La mwisho tu, inaonekana swala hili linakutatiza. Usikatetamaa wapo wengine walio kutana na shida hiyo..
Hivyo pata muongozo sahihi na naamini utapata suluhisho ambalo ni sahihi.
Wataalamu wa ushauri(
wanapsycholojia) na/au viongozi wa dini wanaweza kukusaidia.

Na pia wapo watakao kunenea vibaya. kwamba wewe ni shoga au ni watofauti kwa jinsi yeyote. Wasikutie wasi wasi, kwani kila mtu ana uhuru wa kuwaza analowaza. Hvyo wacha watumie uhuru wao. Ila kumbuka wapo pia wanao kuelewa na wangependa upate suluhisho sahihi la suala hili
 
Mkuu;
Yaani mimi sijamuelewa kabisa kabisa. Unamwambia amtafute mwanamke atakaye mweka bize kiakili. Mbona una maneno ya kiajabu?? Wewe ungemsaidiaje akikufikisha kwake halafu mnapovuana akakuomba umlalie tu mgongoni au umt.iiliie dole lako?? Ungemsaidiaje??
Mwambie wazi wazi kuwa, In this country, there is no cure for people like him. Hatujafika huko
sidhani kama anahitaji " cure".
Infact, there is no cure.

Yupo katika stage ya ku-struggle na uhalisia wa hisia zake.

Anajaribu kupambana na hali yake ya kuvutiwa na watu wa jinsia yake.

Kuna mengi kuhusu hilo, huenda kutokana na mgandamizo hasi kutoka kwa watu wa karibu yake, hofu ya kugundulika, wasiwasi juu ya vitabu vya dini, mashaka nk.

Mwisho wake anageuka kichaa.

Hawezi kupona, isipokuwa kujipenda na kuikubali hali yake.
 
Mambo yasiyo ya kawaida ndio yapi, na tafsiri juu ya kawaida na isiyo kawaida umeiweka katika upeo upi??

Ili kitu kiwe cha kawaida kinapaswa kuwa na sifa zipi na / kitu kisichokuwa cha kawaida kinapaswa kuwa na mapungufu yapi?

Hata watu weusi wanafanywa kujisikia sio wa kawaida katika nchi za watu weupe, kwahiyo ni kweli wao si wa kawaida??

kuwa kawaida ndio kupi?
 
Take it easy mkuu!!!
1. Tafuta mpenzi wa kike aliechangamka namwenye kukuweka bize kiakili, kimawazo na kimwili...
2. Acha kabisa kuangalia picha za ngono haswa za jinsia moja... Zinahamasisha sana
3. Shika sana dini mkuu! Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kukulinda na hili. Kama sio mtu wa kusali ni bora uanze. Atakuondolea hamu zote za ajabuajabu
4. Epuka mazingira yanayoamsha hisia juu ya wanaume wenzako.

Yaani umezaliwa in a wrong country kudhani kwamba kuna atakaekushauri ujaribu huo uoande wa pili.

Daah Mungu amsaidie masikini apone tu
 
Kwanini unadhani anahitaji kuacha?

Ni kwasababu haifai, au kwasababu
watu wanadhani haifai?

Kudhani kutokufaa, haifanyi iwe kutokufaa.

Unadhani haifai kuwa bisexual?
Mimi sio homophobic!!!
Ila kwa jamii hii kua homosexual ni kujitesa bureee! Utaishi kisiri sana na ukijulikana utadharaulika. Na vijana wengi waliokua wakiona mambo haya ni kawaida kupata hizo hisia ila haimaanishi ndo uipe nafasi, inakua ni phase tu...
Kwanini ujitese na yote hayo wakati una uwezo wa kuenjoy jinsia wanawake?
 
Mkuu;
Yaani mimi sijamuelewa kabisa kabisa. Unamwambia amtafute mwanamke atakaye mweka bize kiakili. Mbona una maneno ya kiajabu?? Wewe ungemsaidiaje akikufikisha kwake halafu mnapovuana akakuomba umlalie tu mgongoni au umt.iiliie dole lako?? Ungemsaidiaje??
Mwambie wazi wazi kuwa, In this country, there is no cure for people like him. Hatujafika huko
Ivi unajua maana ya kua bisexual?
Haimaanishi kua atamwambia mwanamke amfanye...
Akiwa na mwanamke atakua kama mwanaume mwingine tu... Nnachosema ni ajitahidi kuiondoa hiyo hamu ya kua na mwanaume.
Akipata msichana atakaempenda anaweza msaidia kubadilika kihisia
 
Ni wapi nilipo bargain?

Au umekurupuka tu kutoka shimoni?
Mkuu ni kwamba anaona unazunguka sana.....instead of goin strait kumshauri muhusika directly.....japo unavofanya ni sahihi step by step...
sidhani kama anahitaji " cure".
Infact, there is no cure.

Yupo katika stage ya ku-struggle na uhalisia wa hisia zake.

Anajaribu kupambana na hali yake ya kuvutiwa na watu wa jinsia yake.

Kuna mengi kuhusu hilo, huenda kutokana na mgandamizo hasi kutoka kwa watu wa karibu yake, hofu ya kugundulika, wasiwasi juu ya vitabu vya dini, mashaka nk.

Mwisho wake anageuka kichaa.

Hawezi kupona, isipokuwa kujipenda na kuikubali hali yake.

Unaruka ruka tu huku na kule kama kirikuu mwenye ujauzito!!

Mambo yasiyo ya kawaida ndio yapi, na tafsiri juu ya kawaida na isiyo kawaida umeiweka katika upeo upi??

Ili kitu kiwe cha kawaida kinapaswa kuwa na sifa zipi na / kitu kisichokuwa cha kawaida kinapaswa kuwa na mapungufu yapi?

Hata watu weusi wanafanywa kujisikia sio wa kawaida katika nchi za watu weupe, kwahiyo ni kweli wao si wa kawaida??

kuwa kawaida ndio kupi?
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

Wengi wanaotoa matusi na kukujeli ni watu duni na washamba wasio na ufahamu wowote wa masuala ya ujinsia, hisia, na mahusiano.

Matusi yao na ufahamu wao duni visikufanye ufifie moyo. I think you are beautiful.

kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Hili jambo limedharaulika kabisa kwenye jamii zetu... Yaani tumetoa uwezekano wa mtu kua na abnomalities zinazooelekea hizo hisia. Yaani hormonal imbalance is real jamani... Sio kua ndo tunachochea same sex stuff ila ndo hivyooo!
Ila sio kila hisia ni ya kuipa nafasi kama unataka kuishi kwa amani katika jamii.
 
Take it easy mkuu!!!
1. Tafuta mpenzi wa kike aliechangamka namwenye kukuweka bize kiakili, kimawazo na kimwili...
2. Acha kabisa kuangalia picha za ngono haswa za jinsia moja... Zinahamasisha sana
3. Shika sana dini mkuu! Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kukulinda na hili. Kama sio mtu wa kusali ni bora uanze. Atakuondolea hamu zote za ajabuajabu
4. Epuka mazingira yanayoamsha hisia juu ya wanaume wenzako.

Yaani umezaliwa in a wrong country kudhani kwamba kuna atakaekushauri ujaribu huo uoande wa pili.
Huwaga una comment kwa facts sana, watu wengine hawajuagi kuwa ngenye huishinda akili.
 
Mimi sio homophobic!!!
Ila kwa jamii hii kua homosexual ni kujitesa bureee! Utaishi kisiri sana na ukijulikana utadharaulika. Na vijana wengi waliokua wakiona mambo haya ni kawaida kupata hizo hisia ila haimaanishi ndo uipe nafasi, inakua ni phase tu...
Kwanini ujitese na yote hayo wakati una uwezo wa kuenjoy jinsia wanawake?
Chakula cha mbuzi ni majani, ukimpikia nyama iliyokaangwa kwa iliki na karafuu kutoka dubai hatakula hata kama anataka kukata roho kwa njaa.

Kudhauraulika hakuzifanyi hisia zife.

Hakuna mazingaombwe yoyote ya kumfanya mtu abadilishe hisia zake.

There is no something like WHY DO I LOVE THIS PERSON, OR WHY DON'T I?

Hakuna maelezo wala tiba juu ya kumpenda au kumchukia mtu.

Huwezi ukaelezea kwanini unahisi hivi na kwanini haujahisi vinginevyo.

Unahisi , ndivyo hivyo na hakuna namna!!!
 
Hili jambo limedharaulika kabisa kwenye jamii zetu... Yaani tumetoa uwezekano wa mtu kua na abnomalities zinazooelekea hizo hisia. Yaani hormonal imbalance is real jamani... Sio kua ndo tunachochea same sex stuff ila ndo hivyooo!
Ila sio kila hisia ni ya kuipa nafasi kama unataka kuishi kwa amani katika jamii.
Kutokubali kuwa jambo lipo, au kutakiwa kuwapo, halifanyi lisiwepo.

Litakuwepo tu katika hali yoyote, kwa kukubalika au kutokubalika.

Uchague kulikubali, au ukae kando na uache liwepo.

Hakuna mtu anayechagua nimpende au nisimpende fulani.

Unapenda tu, na hakuna maelezo mazuri kuhusu hilo.
 
yaani mkuu mwanamke na mwanaume kwangu naona sawa tu kwenye sex
Ok manake uki act as a women unatafuta njemba anakushikisha vidore vya miguu afu uki act as a men unatafuta mrembo unakula mzigo.
Au niko op mkuu
 
Back
Top Bottom