Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

can be
kama ni hormonal imbalance....sio rahisi kihivo....naona watu wanashauri utafute demu ...that wont help hapo mwarobaini ni ku correct hormonal imbalance
true nimeambiwa dawa za
 
kama ni hormonal imbalance....sio rahisi kihivo....naona watu wanashauri utafute demu ...that wont help hapo mwarobaini ni ku correct hormonal imbalance
nimeambiwa dawa za hormone zipo muhimbili vipi pharmacy
 
usiende dukan. Nenda muhimbili.....eleza shida yako.....kutegemea na maelezo yako watajua shida nin,kana...itakuwa hormone....watafanya vipimo....kama sio(psychological.thing) watakupeleka.....panapo husika......MKUU...USIMEZE DAWA BILA KUSHAURIWA NA WATAALAMU hormones zina madhara mengi sana...kama...kupunguza nguvu za kiume.....kubadili tabia ya mtu.....nk
 
naoh

naogopa kumweleza daktar face 2 face
 
Kwanza pole sana. Pili kama hiyo picha hapo kwenye avatar inaendana na wewe (ya kwako) au umevutiwa na pozi la huyo kijana basi naomba uanze kubadilika hapahapa! Ujasiri hujengewi, ujasiri unajijengea mwenyewe. Anza kwanza kutoa hiyo picha weka picha zenye staha ya kiume. Kama unapenda pozi hizo jenga kwanza ujasiri wa kuachana nazo.

Lingine nimeona kuwa wewe hasa unatamani ushoga. Hiyo inatokana na hisia nyingi ulizojijengea juu ya jambo hilo. Najua hutaweza kusema ila pengine unaangalia video za aina hiyo. Acha hilo pia.... Baada ya hapo sali na jiamini...... Maumivu yakiendelea baada ya hapo basi muone daktari kwa kuwa utakuwa umeathiriwa na mfumo ila kwa sasa mimi naona umetekwa zaidi na hisia. Usiziendekeze, anza na hiyo avatar sasa!
 
ok thanks
 
Back
Top Bottom