Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

NASHUKURUNI SANA NYOTE MLIONISHAURI
MUNGU AWABARIKI SANA
KUNA WATU WANASHINDWA KUTOFAUTISHA KATI YA BISEXUAL NA GAY
YOU CAN BE GENTLEMEN BT UKAWA UNA FAVOUR BOTH SEX
USHAURI WENU UMENIJENGA KIAKILI NA KIMAADILI NA NITAUFANYIA KAZI
uwe na amani !
LA MSINGI NI KUKUBALI THT HILO NI TATIZO(of which ndicho kimekuleta hapa)
halafu kulitafutia ufumbuzi!
pole sana mkuu!
Mungu ni mwema still!
anakupenda anajua unapita kwenye mkanganyiko upo wa kijinsia!
 
thank u very kwa ushauri nzur mungu akubariki
 
acheni kumkejeli mwenzenu mpk kaamua kuleta humu anataka ushauri afanye nini hapendi hiyo hali lkn hana jinsi kama huwezi msaidia bora ukae kimya kuliko kumkejeli hakuna binadamu aliye sawa
Hapa tunampa what psychologically we call"negative punishment" hafai huyo si wa kubembeleza...nakumbuka kuna mtu aliwahi kujidai ana mapepo lakini kucharazwa sticks ilimfanya aache kabisa wala haikuhitaji maombi, so cha kwanza ajielewe si anatuletea kinyaa hapa
 
hata maumbile best!
hata kutembea!
hata mikogo ya mikono!
hata mwandiko!
aseee wale watoto niliwapokea wakiwa wanaaanza kidato cha kwanza,mpk wanafika kidato cha nne!
walikuwa mmoj anabadilika into kuwa wa kike(eusebius) mwingine into kuwa wa kiume(eusebia)

ni miaka imepita now! sijui wameendeleaje huko waliko!
Duu walikuwa wanabadilishana yaniii..
 
thank u very kwa ushauri nzur mungu akubariki
The thing ni kwamba una hutaji suport ya kiroho tu. Period.

Otherwise itakuwa kama kumweka simba na nyama ndani harafu unamwambia jizuie .

Ukitaka suport karibu tusemezane
 
Hapa tunampa what psychologically we call"negative punishment" hafai huyo si wa kubembeleza...nakumbuka kuna mtu aliwahi kujidai ana mapepo lakini kucharazwa sticks ilimfanya aache kabisa wala haikuhitaji maombi, so cha kwanza ajielewe si anatuletea kinyaa hapa
wewe anakunegative punish nani kwa madhaifu yako?
hebu kwendeni huko kazi kujihesabia haki tuuu!
we unafkr ni rahisi hivyo unajikuta unatamani mwanaume na mwanamke?
huyu hata hajaanza kufanya mapenzi ya jinsia moja!
ila kuna kitu ndani yake kinamsukuma kuwa ndiyo aina ya mapenzi anataiwa kufanya!
unapomtukana hivyo bila kumweleza nini cha kufanya unafikiri inasaidia?
ukimcharaza viboko kwa situation aliyonayo unasaidia?
ACHENI KUYATAZAMA MASIHA KATIKA BOXI MLILOJITENGENEZEA!

kuna watu wana shida mno na maumbile yao!
NA HAWAFURAHII HIZO HALI!
huyu ni mmoja wapo!
HAUWEZI KUMSAIDIA USIMUATTACK!
haikusaidii wala humsaidii!
 
Duu walikuwa wanabadilishana yaniii..
MUNGU ANATISHA jamani!
kama mzazi kama mama kama mwalimu ilikuwa inanitesa hasa!
nilikuwa nawatazama wale watt nasema nini hiki kinatokea hapa!
INAUMIZA KWA KWELI!
yule wa kike alikuwa wala hajali!
yule wa kiume anakuja anakwambia madame ,mi sitaki kukaa na wale (wavulana)wananiambia nina hips!
JESUS!
nyieeeee!
 
Mungu alimuumba mtu mke na mtu mme so mengine ni kujiendekeza tu na aache kuangalia movies za "G&Y" kama sijakosea ndo zinavyoitwa, zinaharibu sana akili, tena bahati nzuri kumbe we mwalimu bila shaka umeelewa sana niliposema"negative punishment" haina maana ya kujihesabia haki hii dhambi ni mbaya sana nakuambia kuna mji ulipigwa kiberiti haraka sana kwa mapenzi ya namna hii so Mungu anaichukia kuliko unavyoichukulia kirahisi!
 
Can feel how the boy ambazo anafeel for real..Ila ulikuwa ni mzigo wako, usidhani kama ilikuwa bahati mbaya kuwa katika mikono yako. Ila what i know ni kuwa MUNGU hana mipaka, hashindwi.

Kama aliweza fanya njia baharini, kuwatoa Israel utumwani, kumfanya punda akaongea, kumbadilisha muuaji na akawa mtumishi hakuna analoshindwa.....Ndio pale alijitanabaisha kama yeye ni MUNGU asie shindwa. Sema watu wanafail hapa ni MUNGU yupi???? Watu ndio twakosea na kuwapa mamlaka miungu ...
 
Scientifically speaking una vichocheo vingi vya kike japo una jinsia ya kiume (kama ulivyosema), hii ni abnormality ya mwili wa binadamu ktk mfumo wa homon.
..
Inabidi utafte dawa za kuchochea na kuongeza homoni ya testosteron ambayo niyo humfanya mtu kuwa na tabia za kiume na si vinginevyo.
.
Epukana na madawa ya kuongeza nguvu za kiumea kama viagra, super-shaft n.k kwani hayana faida kwa tatizo lako.
.
Tafta androderm au gentroderm,
Ama hata nyngnezo lkn ziwe n zipe za kuchochoea uzalishaji wa testosterone hormone.
.
Kama ttzo lako lipo ki mfumo wa hormon na sio vngnevyo kama mapungufu ya kimaumbile (kutokamilika au kuharibika kwa mfumo wa uzazi) basi ninahakika utaleta uzi mwngne wa mrejesho chanya.
 
Mh pengine kweli watu wanaufaham mdogo kuhusu jinsia na ujinsia ila hivyo vitu sio nature na kumbuka nature always wine ndio sababu hata aliyetunga usawa kwa mwanamke na watoto pia moyoni ninahakika hakubali hilo. Sikia hy sio hari ya kawaida wala usimdanganye na kumtukana pia sio sawa tunapaswa kumsaidia hay n mambo yanayokuja sasa na sio tamaduni zet afrika kama wewe unaona tamaduni ya marekani ni bora kuliko ulipozaliwa basi pia unamatatiz ya kuto jitambua na usijalib kufundisha watoto wetu upuuz huo bana wenzio wameweka ndoa za jinsia moja ili kupunguz watu dunia wanamini dunia inakufa na wanayoiua n binadamu hata we pia kajielimishe zaidi
Tamaduni zetu twazifata?!! Kulawiti na kubaka watoto wadogo ni tamaduni za kiafrika? Lakini watoto wanabakwa wanalawitiwa tena na baba, babu, mjomba, jirani zao . Kumbuka kuwa twaweza kuwa wa tamaduni moja lakini kila mmoja ana utofauti wake (individual difference). Tukatae tukubali hawa watu wapo sana.
 
hizo ni hisia tu kama ni mungu fwata ulivyoumbwa, kama ni washetani moto unakunyemele stukaaaa
 
Take it easy mkuu!!!
1. Tafuta mpenzi wa kike aliechangamka namwenye kukuweka bize kiakili, kimawazo na kimwili...
2. Acha kabisa kuangalia picha za ngono haswa za jinsia moja... Zinahamasisha sana
3. Shika sana dini mkuu! Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kukulinda na hili. Kama sio mtu wa kusali ni bora uanze. Atakuondolea hamu zote za ajabuajabu
4. Epuka mazingira yanayoamsha hisia juu ya wanaume wenzako.

Yaani umezaliwa in a wrong country kudhani kwamba kuna atakaekushauri ujaribu huo uoande wa pili.
Kwa kuongezea...kama unao uwezo oa kabisa....fanya kazi sana.
 
Mungu alimuumba mtu mke na mtu mme so mengine ni kujiendekeza tu na aache kuangalia movies za "G&Y" kama sijakosea ndo zinavyoitwa, zinaharibu sana akili, tena bahati nzuri kumbe we mwalimu bila shaka umeelewa sana niliposema"negative punishment" haina maana ya kujihesabia haki hii dhambi ni mbaya sana nakuambia kuna mji ulipigwa kiberiti haraka sana kwa mapenzi ya namna hii so Mungu anaichukia kuliko unavyoichukulia kirahisi!
TUNATOFAUTINA HAPA!
UMEAMUA KUTOKUELEWA!
mimi nimeamua kuelewa na kumsaidia kutoka hapo bila kumhukumu!
dhambi zake anajua na Muumba wake!
nimemsaidia tu kujitafiti na kuiona kweli bila kujitenga kutoka ubinadamu wangu!

huyu hajaanza kufanya mapenzi hayo unayomhukumu nayo!
HICHO NI KITU KINAENDELEA AKILI MWAKE!
hiyo comment uliquote nilikuwa naelezea case ya wanafunzi waliojikuta kwenye hiyo situation!
SASA KAMA WE UNAAMUA KUITAZAMA HIVYO NI WEWE mkuu!

kitu kimoja ninachofahamu!
kama vile tulivyo na watu wenye physical impairment
huyu nae ni tatizo ,ambalo MNAKATAA TU KULIADDRESS ILA LIPO!
 
Narudia "Mungu alimuumba mtu mke na mtu mme"
Suala la visual, hearing and physical imparements ni nshu nyingine lakini sio hii ya kishoga.
Mwalimu ,unaonekana uelewa wako ni mdogo madamme!
 
TUNATOFAUTINA HAPA!
UMEAMUA KUTOKUELEWA!
mimi nimeamua kuelewa na kumsaidia kutoka hapo bila kumhukumu!
dhambi zake anajua na Muumba wake!
nimemsaidia tu kujitafiti na kuiona kweli bila kujitenga kutoka ubinadamu wangu!

huyu hajaanza kufanya mapenzi hayo unayomhukumu nayo!
HICHO NI KITU KINAENDELEA AKILI MWAKE!
hiyo comment uliquote nilikuwa naelezea case ya wanafunzi waliojikuta kwenye hiyo situation!
SASA KAMA WE UNAAMUA KUITAZAMA HIVYO NI WEWE mkuu!

kitu kimoja ninachofahamu!
kama vile tulivyo na watu wenye physical impairment
huyu nae ni tatizo ,ambalo MNAKATAA TU KULIADDRESS ILA LIPO!
Watu wengi hawatakuelewa,tatizo letu ni kufumbia macho vitu kama hiv au kulaumu wazungu au mitandao,lakini haya mambo yapo sana.mimi niliwahi kusoma na mtu anaongea kama mwanamke na matendo yake kama demu kabisa,tulikuwa shule ya msingi,yaani nnachokumbuka kuhusu yule jamaa ni kumuona kila wakati akikimbizwa na wanzake wampige,n ukimpitia karibu kama mpo kundi unaona uso wake unakuwa wa woga ,akifikili mnaweza kumpiga.
Mpaka leo nikikumbuka najiskia vibaya sana hakukuwa na mtu wa kumsaidia.
 
hizi dawa nitazipata wapi

Back
Top Bottom