Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Hii hali hutokea tu, sijawai kumtamani mwanaume mwenzangu lakini, siku moja nipo darasani nilimuona mwanafunzi akiwa amekaa nilimtamani sana, sikujua kama ni me! Nilivokuja kumuona tukiwa nje ndo nikagundua ni me lakini bado namtamani! Mimi napendaga macho, yeye anamacho mazuri saana! Mnisamahe ndo nimeamka sasaivi.
Binadamu tumeumbwa na matamanio,muhimù ni kujua mipaka.Kwa kuwa unatamani haina maana ukimbilie huko,kuna watu wanataman ku 'do' na wanyama,dada/kaka zao, lakini wanajikaza hivyo ndivyo tulivyo,binadamu ni viumbe complex sana.
 
Labda yeye ndio anatamani kuwatafuna wanaume wenzie. Hajajieleza vizuri anawatamani wa jinsia zote wamtindue au awatindue. Inaweza kuwa anawatamani wenzie awabashie.
Mtu anetamani wanaume wenzake ina maana,yupo tayari kufanya au kufanywa na hii ndio maana halisi ya kuwa shoga.Hayo majina mengine kama basha na msenge ni nembo tu za kujificha sababu wote wanauwezo wa kudinda,ingawa wengine ndio wnapenda kuwa wanafanywa md mwingi na wangine wanafanya lakini uwezekano wa hao jamaa kugeuzana ni mkubwa,hivuo mtu anaejiita basha pia usione anapitiwaga.
 
Hebu msaidie huyu binaadamu mwenzio atoke kwenye hilo janga
Kwanza ajijue yy ni nani,ajitambue.
Pili aache hayo mawazo ya kuwatamani wanaume wenzake,yy ndie mwenye uwezo wa kujicontrol na kuacha hayo mawazo.
Tatu atafute mshauri ,mwanasaikolojia amshauri zaidi.
 
sifikirii kuwa homosexuality, bisexuality, au sexuality yoyeto nyingine ni ugonjwa unaohitaji tabibu.

Kwanini unadhani ni ugonjwa kupenda?
Kutamani uwe una nywea chai au maji puani ni ugonjwa ingawa inawezekana. Hiyo ni sawasawa kutamani kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (anus) pia hii inawezekana na inafanyika kila siku lakini sio sawa kiafya na kimaadili(kwa maana ya kuwa tukiendekeza hii tutaathiri balance ya reproduction system:- Tunahitaji MWANAUME na MWANAMKE ili tuzalishe wanadamu wapya kwa njia ya asili).

Ugonjwa si lazima kuhisi maumivu kama ya kichwa au tumbo, ugonjwa hasa wa kiakili/kisaikolojia ni pamoja na kutamani kutenda yasiyo kawaida na yeye madhara hasa kwa wenzio waliokuzunguka au wewe mwenye.

Kumfumua marinda mwenzio sio nzuri kiafya na inajulikana hivyo kwa karne nyingi hata hizo ambazo sasa wanaruhusu waziwazi. Wewe halalisha hilo tendo lakini asili (nature) na sayansi vinajipambanua lile tendo sio sawasawa.
 
Fafanua unatamani kuingilia wanaume wenzio au unatamani kuingiliwa,pili una umri gn?
 
Kwa jinsi nimemuelewa Mimi ni kwamba ye hata akiona mwanaume ana kua na matamanio kama mwanamke kama sijakosea ndio mana huyu ndg kamjibu atafute mwanamke wa kumfanya awe bize,na kitu naona kwel itakua anaangalia sana porn huyu!!

Mkuu;
Sitaki kufikiria kama nilivyo kuelewa. Yaani akiwa anatembea tu njiani amwone me tiyari ajisikie kukojolewa?? Hii si khatar?? Tujifiche wapi tu asituone?? Huyo mwanamke atakaye mfanya awe bize hatakuwa na uhitaji wowote hata atoke nje ya nyumba?? Watakula nini?
Naona huyu mtu ni mzigo mkubwa. Anahitaji kukataa yeye mwenyewe. Hakuna mwingine wa kumsaidia. Ayakatae hayo mawazo yeye mwenyewe na asivyo fanya hivyo, kwa Tz hii, jela inamngoja na akifika kule, nadhani atakuwa hana njaa tena ya kufanywa kwani wanasema huko ndo kwenyewe
 
yani nakuelewa!
JINSIA NA UJINSIA NI MADA KANGANYIFU SANA!
basi tu,huwa tunaishia kuzaa na kugenyeka!
ILA MWANADAMU KWENYE HILO ENEO AMEFUMBWA VITU VINGI SANA!
 
yani nakuelewa!
JINSIA NA UJINSIA NI MADA KANGANYIFU SANA!
basi tu,huwa tunaishia kuzaa na kugenyeka!
ILA MWANADAMU KWENYE HILO ENEO AMEFUMBWA VITU VINGI SANA!
Upo sahihi kabisa


Hapa zitakuja theory nyingi ku justify visivyo halali na kinyume na nature.

Heads up na macho yawe open sio kila kitu unachukua tu kisa kimesemwa na mtaalamu. Tujiongezeeee
 
Mola Maulana wetu amekuumba mwanamume usitafute LAANA KIJANA!
 
Sijakuelewa unawaona sawa mwanamke na mwanaume.najuwa mwanamke unataman kumla si ndio sasa je unapomwona mwanaume unajisikiaje unatamani kuwa yeye ndio akufanye au unamtamani unamuona sawa na mwanamke naomba nifafanulie kisha nitakupa jib nn kinachokusumbua mana hayo ni matatiz mawili tofauti bro
 
Mungu akuepushe na aniepushe mie pia na kizazi changu kila bro fafanuwa tupate kukupa jib sahihi usiogope kama kweli unahitaji msada
 
Uungwana ni vitendo wajameni, mwanadamu usitukane mkunga ikiwa bado unaendelea kuzaa, kikubwa ni kumuomba Mungu na kuwaombea na wengine, mengine sio ya kudhihaki, yawezekana kama isipotokea kwako ikaja kwa mwanao au mjukuu wako, kuna mmoja aliapa kuwa mwanangu akiwa shoga namuua, mwisho wa siku watoto wake wawili wakawa mashoga tena mashuhuri na mmoja alikufa mwenyewe miaka mitatu iliyopita, huyo visa ni wa kuombewa na kutafutiwa mwanasaikolojia.
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

Wengi wanaotoa matusi na kukujeli ni watu duni na washamba wasio na ufahamu wowote wa masuala ya ujinsia, hisia, na mahusiano.

Matusi yao na ufahamu wao duni visikufanye ufifie moyo. I think you are beautiful.

kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Mh pengine kweli watu wanaufaham mdogo kuhusu jinsia na ujinsia ila hivyo vitu sio nature na kumbuka nature always wine ndio sababu hata aliyetunga usawa kwa mwanamke na watoto pia moyoni ninahakika hakubali hilo. Sikia hy sio hari ya kawaida wala usimdanganye na kumtukana pia sio sawa tunapaswa kumsaidia hay n mambo yanayokuja sasa na sio tamaduni zet afrika kama wewe unaona tamaduni ya marekani ni bora kuliko ulipozaliwa basi pia unamatatiz ya kuto jitambua na usijalib kufundisha watoto wetu upuuz huo bana wenzio wameweka ndoa za jinsia moja ili kupunguz watu dunia wanamini dunia inakufa na wanayoiua n binadamu hata we pia kajielimishe zaidi
 
Sikia moja kama unafanya mapenz kinyume na maumbile basi ni rahisi kutaman mwanaume mana ke na me ndio tofauti zetu kubwa na moja ya madhara ya Ku*#la ni kuaribu saikorojia ya mfanyaji na mfanywa so mie nakushauri kama unafanya hvy acha kabisa na baadae utaona hy hari itaondoka taratibu
 
Upo sahihi kabisa


Hapa zitakuja theory nyingi ku justify visivyo halali na kinyume na nature.

Heads up na macho yawe open sio kila kitu unachukua tu kisa kimesemwa na mtaalamu. Tujiongezeeee
Niliwahi kufundisha watt mapacha!
wakike na wakiume (mfano mmoja aitwe Eusebia mwingine Eusebius)
eusebia akikaa kweny dawati unamwita Eusebius
and the vice versa!
eusebia anacheza mipira yote kuanzia football mpk madochi sijui nn
eusebius anasoma cookery
Eusebia kila siku anakutwa kosa la kutokuandika notes na kutochomekea shati
Eusebius ndo best student kwa nidhamu na unadhifu!
Eusebia anaunguruma hapa na kule
Eusebia akiongea lazima umsogelee ndo usikie!

SIJUI NAELEWEKA?
wale watoto ukimsikiliza mama yao unalia kwa hakika!!
SIJUI WALIISHIA WAPI!
 
Niliwahi kufundisha watt mapacha!
wakike na wakiume (mfano mmoja aitwe Eusebia mwingine Eusebius)
eusebia akikaa kweny dawati unamwita Eusebius
and the vice versa!
eusebia anacheza mipira yote kuanzia football mpk madochi sijui nn
eusebius anasoma cookery
Eusebia kila siku anakutwa kosa la kutokuandika notes na kutochomekea shati
Eusebius ndo best student kwa nidhamu na unadhifu!
Eusebia anaunguruma hapa na kule
Eusebia akiongea lazima umsogelee ndo usikie!

SIJUI NAELEWEKA?
wale watoto ukimsikiliza mama yao unalia kwa hakika!!
SIJUI WALIISHIA WAPI!
Gotcha.....

Ila hapo Maranyingi kuna myth nyingi wanaeza kuwa wamejengewa , kumfnya mmoja awe tegemezi.

Katika watu ambao unatakiwa kuwa tizama kwa makini basi ni twins. Ukipoteza step moja basi mmoja atapotea kwa urahisi sana
 
Gotcha.....

Ila hapo Maranyingi kuna myth nyingi wanaeza kuwa wamejengewa , kumfnya mmoja awe tegemezi.

Katika watu ambao unatakiwa kuwa tizama kwa makini basi ni twins. Ukipoteza step moja basi mmoja atapotea kwa urahisi sana
hata maumbile best!
hata kutembea!
hata mikogo ya mikono!
hata mwandiko!
aseee wale watoto niliwapokea wakiwa wanaaanza kidato cha kwanza,mpk wanafika kidato cha nne!
walikuwa mmoj anabadilika into kuwa wa kike(eusebius) mwingine into kuwa wa kiume(eusebia)

ni miaka imepita now! sijui wameendeleaje huko waliko!
 
NASHUKURUNI SANA NYOTE MLIONISHAURI
MUNGU AWABARIKI SANA
KUNA WATU WANASHINDWA KUTOFAUTISHA KATI YA BISEXUAL NA GAY
YOU CAN BE GENTLEMEN BT UKAWA UNA FAVOUR BOTH SEX
USHAURI WENU UMENIJENGA KIAKILI NA KIMAADILI NA NITAUFANYIA KAZI
 
Back
Top Bottom