Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,093
- 22,806
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hebu Keleleeeeeeeeeeeeeeee hapo.... MsyuuuuuuuuSa unakasirika mimi kumpa ushauri mwenzako?
Ni lazima bisexuals muwe na hasira na mtamani kucontrol maoni ya watu?

Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hebu Keleleeeeeeeeeeeeeeee hapo.... MsyuuuuuuuuSa unakasirika mimi kumpa ushauri mwenzako?
Ni lazima bisexuals muwe na hasira na mtamani kucontrol maoni ya watu?

Nielimishe. Usiwe mkali.Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hebu Keleleeeeeeeeeeeeeeee hapo.... Msyuuuuuuuu![]()
Cheki historia ya King Mwanga II wa Buganda halafu soma hii article If you say being gay is not African, you don’t know your history | Bisi Alimi. Bahati mbaya sijapata link ya article niliyosoma kuhusa war captives wa kiafrika ambao waliokuwa wakichukuliwa kama watumwa na kufanwa wake za wanaume wenzao. Nikipata nitakurudia.Ume hypothesize hii habari au ni ukweli?! Kama ni kweli naomba unipe mifano isiyo pungua mitatu ya hizo jamii na ni wapi na lini?!