Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Ukisema unajisikia hamu ya wanawake na hamu ya wanaume hujajieleza vizuri mkuu. Kwamba unaposhiriki tendo la ndoa na mwanamke, hapo hapo unajisikia kufanywa au? Tiririka tu mkuu.
Neno bisexual kwako lina maana gani?? Unajisikia nini hata ukakidhani ndio hiyo bisexual?
 
Ukisema unajisikia hamu ya wanawake na hamu ya wanaume hujajieleza vizuri mkuu. Kwamba unaposhiriki tendo la ndoa na mwanamke, hapo hapo unajisikia kufanywa au? Tiririka tu mkuu.
Neno bisexual kwako lina maana gani?? Unajisikia nini hata ukakidhani ndio hiyo bisexual?
yaani mkuu mwanamke na mwanaume kwangu naona sawa tu kwenye sex
 
yaani mkuu mwanamke na mwanaume kwangu naona sawa tu kwenye sex

Mkuu,
Tiririka vyema. Utawaonaje sawa kwenye sex?? Ninavyo fahamu, huwezi kuwalaza wote kitanda kimoja kwa wakati mmoja. Haikuji. Kama weye una tabia ya kuwatongoza wanawake leo kesho ukatongoza mwanamume labda ndiyo. Lakini huwezi sema ati unawaona wote sawa tu. Kwa wakati gani na kwa namna gani?? Kuwa wazi tu mkuu. Pengine ukimaliza kumkojolea ke unajihisi kutamani kusikia ulivyokuwa unamkojolea yule nawe ukikojolewa itakuwaje. Ni hivyo??
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

I think you are beautiful. Kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
 
Take it easy mkuu!!!
1. Tafuta mpenzi wa kike aliechangamka namwenye kukuweka bize kiakili, kimawazo na kimwili...
2. Acha kabisa kuangalia picha za ngono haswa za jinsia moja... Zinahamasisha sana
3. Shika sana dini mkuu! Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kukulinda na hili. Kama sio mtu wa kusali ni bora uanze. Atakuondolea hamu zote za ajabuajabu
4. Epuka mazingira yanayoamsha hisia juu ya wanaume wenzako.

Yaani umezaliwa in a wrong country kudhani kwamba kuna atakaekushauri ujaribu huo uoande wa pili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom