Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Msaada: Najihisi mimi ni bisexual

Kutokubali kuwa jambo lipo, au kutakiwa kuwapo, halifanyi lisiwepo.

Litakuwepo tu katika hali yoyote, kwa kukubalika au kutokubalika.

Uchague kulikubali, au ukae kando na uache liwepo.

Hakuna mtu anayechagua nimpende au nisimpende fulani.

Unapenda tu, na hakuna maelezo mazuri kuhusu hilo.
Ni kweli!!!
 
Ok manake uki act as a women unatafuta njemba anakushikisha vidore vya miguu afu uki act as a men unatafuta mrembo unakula mzigo.
Au niko op mkuu
Unachopaswa kuelewa, mapenzi ni zaidi ya kushika " VIDORE " / VIDOLE.

Huenda ana matamanio yasiyoelezeka kwa urahisi.

Wakati mwingine watu wanapata hisia za ajabu ajabu tu juu ya watu fulani.

Hajasema anawatamani hao wenzake afanye nao nini!!

Labda awabusu tu, ndivyo anavyopenda.
 
Ivi unajua maana ya kua bisexual?
Haimaanishi kua atamwambia mwanamke amfanye...
Akiwa na mwanamke atakua kama mwanaume mwingine tu... Nnachosema ni ajitahidi kuiondoa hiyo hamu ya kua na mwanaume.
Akipata msichana atakaempenda anaweza msaidia kubadilika kihisia

Mkuu;
Yaani hawata do?? Amwangalie tu halaf aondoke au atakuwa anatafuta tigo tu. Angalia isijekuwa humwelewi
 
Mkuu;
Yaani hawata do?? Amwangalie tu halaf aondo anatafuta tigo tu. Angalia isijekuwa humwelewi
Jamani... Bisexuals wanamla mwanamke kama kawaida!!! Kama unavyogegeda mwanamke nao wapo hivyo.
Labda mleta uzi atufafanulie zaidi alichimaanisha kwa kusema bisexual
 
  • Thanks
Reactions: RR
Ni kweli!!!
Nchi za watu weupe, sio tu kwamba wanatoa nafasi kwa watu kufanya mapenzi wanayotaka, ila kwa sababu kuna umuhimu wa kufanya hivyo.

Ni nchi za watu wenye bongo butu tu ndio wanadhani kwamba wanauwezo wa kupangia nani ampende nani na nani asimpende nani.

Ni utani wa hali ya juu kupanga na kupangua hisia za watu.

Ni hatua kukubali na kuelewa kuwa kuna watu wanawatamani watu wa jinsia zao, huenda bado tuko kwenye stagnant stages za ubongo kuweza kuelewa hilo.

We will get to understand it along the way!
 
Jamani... Bisexuals wanamla mwanamke kama kawaida!!! Kama unavyogegeda mwanamke nao wapo hivyo.
Labda mleta uzi atufafanulie zaidi alichimaanisha kwa kusema bisexual
Anakula wanawake nae analiwa na wanaume ndio maana yake.
 
Tatizo ni kuwa kwa bongo tafsiri ya 'gay' na 'bisexual' ni tofuti na uhalisia wa haya maneno kama yaliyvo kusudiwa, ndio maana watu hamuelewi jamaa, tushazoea mse** au baasha, lakini wenzetu hao wote ni ma gay (mashoga).

Hivyo huyu ndugu yetu nae ingawa anavutiwa na wanawake lakini kuna kipindi anavutiwa na wanaume. Anavutiwa vipi na wanaume, hilo anajua yeye lakini kwa ufupi wakiwa chumbani na njemba mwenzake.

Haijalishi kipi kinatendeka, yeye tayari anakuwa kishaingia kundi la wafanya mapenzi wa jinsia moja, anaweza kuwa 'passive' au 'active' au vyote!
 
Take it easy mkuu!!!
1. Tafuta mpenzi wa kike aliechangamka namwenye kukuweka bize kiakili, kimawazo na kimwili...
2. Acha kabisa kuangalia picha za ngono haswa za jinsia moja... Zinahamasisha sana
3. Shika sana dini mkuu! Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kukulinda na hili. Kama sio mtu wa kusali ni bora uanze. Atakuondolea hamu zote za ajabuajabu
4. Epuka mazingira yanayoamsha hisia juu ya wanaume wenzako.

Yaani umezaliwa in a wrong country kudhani kwamba kuna atakaekushauri ujaribu huo uoande wa pili.
Nafikiri haya hapa ni majibu sawa kabisa kwa mleta Uzi.
 
Mkuu;
Yaani mimi sijamuelewa kabisa kabisa. Unamwambia amtafute mwanamke atakaye mweka bize kiakili. Mbona una maneno ya kiajabu?? Wewe ungemsaidiaje akikufikisha kwake halafu mnapovuana akakuomba umlalie tu mgongoni au umt.iiliie dole lako?? Ungemsaidiaje??
Mwambie wazi wazi kuwa, In this country, there is no cure for people like him. Hatujafika huko
Kwa jinsi nimemuelewa Mimi ni kwamba ye hata akiona mwanaume ana kua na matamanio kama mwanamke kama sijakosea ndio mana huyu ndg kamjibu atafute mwanamke wa kumfanya awe bize,na kitu naona kwel itakua anaangalia sana porn huyu!!
 
Ishi maisha yako to the fullest ila hakikisha hauvunji sheria za nchi uliyopo, kwa Tanzania mapenzi ya jinsia moja ni kosa kisheria hivyo utakua comfortable kama utaenda nchi ambayo wanasapoti haki za LGBT.

Kama unaamua kuomba ushauri pendelea kwenda kwenye mitandao ambayo hutoa suluhisho na mafundisho kwa watu wenye hali kama hii, kwenye mitandao huambatana na cyber bullying haswa kama umepeleka swala lako mahala ambapo hawana utamaduni huo.
 
tuamini na tuombe..
Mwenyezi Mungu mnusuru mja wako..mtakase madhambi yake na umpe moyo wa kupenda mwanamke utakayemchagulia wewe..sema Amina!!!
 
Naanza na haya maswali kwanza..;

1. Je, ulishawahi kuota unaingiliwa kimwili na mwanaume mwenzako!?

2. Ulishawahi kushiriki hivi vitendo ulipokuwa mdogo(na marafiki au kubakwa)!?

3. Maumbile yako yapo kiume..au una mwili soft, hips zimetanuka kuliko kawaida na kifua chako kipoje!? ..Ntaomba unijibu...

Haya tuendelee. Iko hivi mkuu...

1. Kuna sababu nyingi ila moja wapo ni hili tatizo la kisaikologia na usipolisolve lina madhara makubwa baadae cuz hizi pande mbili zinazovutana kuna moja lazima itashinda tu na itakayoshinda alwayz ni ile mbaya.... Jitahidi kujiepusha na kuwatazama sana wanaume cuz itakufanya iyo tabia izidi na kama hadi unaota hizo ndoto hapo ni mbaya zaidi mkuu..

2. Wengine wazaliwa hivi (siamini kama wewe ni mmoja wao) ingawa huwa wanapona baada ya tiba fulani hivi HOSPITALINI..

Ngoja niishie hapa kwa leo..
 
Mleta uzi kaingia Library anasoma comment aje hapa ajieleze
 
hakuna kitu kama KWANINI NIKO HIVI, AU IMETOKEA NINI NIKAWA HIVI. I think you should think of the positives about yourself!!

Hakuna mchawi, wala historia ya jinsi ulivyo, au ulivyotokea kuwa.

Nadhani hivyo ndivyo ulivyo, na ndivyo inavyokufanya wewe, na wewe pekee tofauti na wengine.

Wengi wanaotoa matusi na kukujeli ni watu duni na washamba wasio na ufahamu wowote wa masuala ya ujinsia, hisia, na mahusiano.

Matusi yao na ufahamu wao duni visikufanye ufifie moyo. I think you are beautiful.

kuna haja siku za mbeleni, "endapo" ufahamu wa watu ukaongezeka, tukafundisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya maswala ya jinsia na ujinsia.

Tusiishie kwenye uanamke na uanamume, tupanue maarifa na kujifunza abnormalities zinazotokea katika jinsia za watu.

Kutoa matusi na kujifanya kuwa jambo fulani halipo ama halitakiwi kuwapo ni sawa na mbuni anayedumbukiza kichwa mchangani na kukiacha kiwili wili nje.

I think you got to love yourself, and enjoy your life.
Well said. People are in denial. Saying simply that there's no problem basi hii ishu inaondoka.
 
Hii hali hutokea tu, sijawai kumtamani mwanaume mwenzangu lakini, siku moja nipo darasani nilimuona mwanafunzi akiwa amekaa nilimtamani sana, sikujua kama ni me! Nilivokuja kumuona tukiwa nje ndo nikagundua ni me lakini bado namtamani! Mimi napendaga macho, yeye anamacho mazuri saana! Mnisamahe ndo nimeamka sasaivi.
 
Back
Top Bottom