Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 332
- 322
Hahahaaaa mkuu m ntafta shamba nilime mwez wa 10 huu ntaka nimulizie aisee
Mie nakodisha lipo mita 5 kutoka mtoni. Ekari 6 kamili kama upo siriasi njoo.
Hahahaaaa mkuu m ntafta shamba nilime mwez wa 10 huu ntaka nimulizie aisee
Wapi huko mzeeMie nakodisha lipo mita 5 kutoka mtoni. Ekari 6 kamili kama upo siriasi njoo.
Wapi huko mzee
mawazo ya kijinga kwe ishu za msingi,nyie ndo mnashusha hadhi ya jamiiforum, mwenzio ana mambo ya msingi we unareply upuuzi.Ufoo saro au?
naomba za kukodi sana sana,ila hata za kununua nipe bei pia mkubwa.Unaitaji za kukodi au za kununua mkuu?
wapi uko, na unakodisha kwa kiasi gani,naomba kujua ndgMie nakodisha lipo mita 5 kutoka mtoni. Ekari 6 kamili kama upo siriasi njoo.
Kukodisha ni shilingi elfu hamsini,mimi nilinunuaga laki mbili na nusu kwa eka mwaka Jana ila sijasikia anayeuza kwa sasanaomba za kukodi sana sana,ila hata za kununua nipe bei pia mkubwa.
Nimeanza ivi,mpunga una wiki tatu nashukuru Mungu na vuli imeanza Kunisaidia kumwagilia
ushauri mzuri wengi hawaelezi changamoto unakutana nazo katikati ya safari na fedha imeishahata kama una ardhi tayari lakini kwa laki saba haitoshi:
je una mbegu za mpunga za kutosha ekari tatu?
je umeandaa pesa ya chakula kwako na wasaidizi wako?
je umeandaa pesa ya kulinda ndege?(kama wapo)
hivyo kwa ushauri wangu jaribu kukaa chini na kufikiria vitu vingi kabla ya kuanza ili usije ukafanya vitu vya kuwachekesha walionuna.
kweli kabisa na unajikuta hufikii yale malengo uliyojiwekea au kupata hasara kabisa.ushauri mzuri wengi hawaelezi changamoto unakutana nazo katikati ya safari na fedha imeisha
Ndo njia gani hiyo mkuu SRI ???Panda kwa njia ya SRI.
Unatumia eka chache ila mavuno ni balaa.
Hongera....wapi huku???Nimeanza ivi,mpunga una wiki tatu nashukuru Mungu na vuli imeanza Kunisaidia kumwagilia
Maeneo gani ?
Mbolea na dawa hujagusa mkuu?Huku kukatua 50,000
Kuvuruga 50,000
Kupanda 50,000
Palizi 50,000
Kukodi 100,000
Kuvuna 100,000
Hapo mpunga upomkononi mwako
Mie nakodisha lipo mita 5 kutoka mtoni. Ekari 6 kamili kama upo siriasi njoo.
Bei gn unakodishaMie nakodisha lipo mita 5 kutoka mtoni. Ekari 6 kamili kama upo siriasi njoo.