Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

robert_k

robert_k

Member
Joined
Sep 27, 2019
Messages
33
Points
95
robert_k

robert_k

Member
Joined Sep 27, 2019
33 95
Wana jamvi....kwa wakulima ambao.mnatarajia kulima miezi hii, nauza dawa ya kilimo SUPERGRO ....ni dawa ambayo mchanganyiko wake ni rahisi sana, dawa ambayo inarutubisha mmea na kufanya udongo upate rutuba na kuwa na unyevu unyevu kwa muda mrefu/ kuufanya udongo ukae na maji kwa muda mrefu. Inatumika katika mazao yeyote hata kwa mpunga. Mfano matumizi katika mpunga, unaloweka mchanganyiko wako wa supergro 1cc kwa 1litre kadiri wingi wa mbegu zako, unaloweka mbegu katika mchanganyiko huo kwa masaa 24 kabla ya kupanda. Kisha unaenda kupanda, mpunga ukishaanza kutoa vimajani tu unapuliza katika majani, kwa masika unapuliza mara 1 baada ya siku 14 ila kwa kiangazi ndani ya siku 7 mara mbili. Mpunga ukishakua tu majani yakiwa marefu, unaacha. Hapo subiria matokeo tu mazuri

Huu ni mfano tu kwa mpunga, ila inatumika hata kwa mahindi, mazao ya biashara yeyote, mboga mboga na matunda pia ndio usiseme matokeo yake kuanzia ubora, ukubwa na wingi wa mazao ni mmja ya matokeo tegemea kuyapata baada ya kutumia hii dawa. Kwa mahitaji au yule kwa ushauri juu ya kilimo chako unachofanya na matumizi ya SUPERGRO piga 0766317197/0693307877

Supergro inapatikana kwa ujazo wa 1litre hadj 5litres kwa bei nafuu sana. 1litre unaweza tumia heka hadi 5 ....heka 5 unatumia heka za kutosha na kwa vilimo vyako chochote. Dawa ambayo haina kemikali na unaweza changanya na dawa ya kuulia wadudu ikafanya kazi ya kuwa gundi, kushikisha ile dawa na mmea kwa muda mrefu.karibu wakulima
 

Forum statistics

Threads 1,343,274
Members 514,998
Posts 32,778,497
Top