Msaada: Sina amani wala furaha tena kuhusu kazi ninayoifanya hivi sasa

toto zuli

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
265
278
Nahitaji mawazo yenu, hapa nilipo nimekuwa mtu wa wasiwasi, sina amani kwa kazi ninayofanya ambayo.

1. Ukikosea kidogo unaitia kampuni hasara kubwa, hivyo inahitaji umakini sana.

2. Uzembe wowote utakaotokea ukiwa kazini basi itapelekea wewe kukaa polisi au kufugwa.

3. Hapa nilipo nina kesi ya kuisababishia kampuni hasara kwa kufanya malipo hewa kwenye machine ya EFD, ambapo kwenye kiasi nili punch millioni tatu badala ya laki tatu, hivyo nina deni la kulipa kampuni.

4. Maboss wangu hawaniamini tena, kila nikiwaona napatwa wasiwasi muda wowote, naona naweza kuwa terminated kazini.

5. Staff wenzangu wamekuwa wakiwa pembeni huntsman kuhusu utendaji wangu wa kazi, naonekana ni poor performance.

Hivyo nahitaji msaada wenu wa kimawazo, hapa nilipo bado nipo dilema.
 
Nahitaji mawazo yenu hapa nilipo nimekuwa mtu wa wasiwasi sina amani kazi ninayofanya ambayo

1.ukikosea kidogo unaitia kampuni hasara kubwa hivyo inahitaji umakini sana .

2.uzembe wowote utakaotokea ukiwa kazini basi itapelekea wewe kukaa polisi au kufugwaa

3.hapa nilipo Nina kesi ya kuisababishia kampuni hasara kwa kufanya malipo hewa kwene machine ya Efd ambapo kwenye kiasi nili punch millioni tatu badala ya laki tatu hivyo Nina deni la kulipa kampuni

4.maboss wangu hawaniamini tena kila nikiwaona napatwa wasiwasi muda wowote naona naweza kuwa terminated kazini .

5.Staff wenzangu wamekuwa wakiwa pembeni huntsman kuhusu utendaji wangu wa kazi naonekana ni poor performance

Hivyo nahitaji msaada wenu wa kimawazo hapa nilipo bado nipo dilema
Apply DP World, bofya chini hapo:

Pole sana kwa changamoto mkuu, inawezekana kuna changamoto unapitia huko kwenu/nyumbani hari ambayo inazorotesha utendaji wako kazini. Ushauri wangu omba likizo ukatulize akili yako kwanza.
 
Nahitaji mawazo yenu hapa nilipo nimekuwa mtu wa wasiwasi sina amani kazi ninayofanya ambayo

1.ukikosea kidogo unaitia kampuni hasara kubwa hivyo inahitaji umakini sana .

2.uzembe wowote utakaotokea ukiwa kazini basi itapelekea wewe kukaa polisi au kufugwaa

3.hapa nilipo Nina kesi ya kuisababishia kampuni hasara kwa kufanya malipo hewa kwene machine ya Efd ambapo kwenye kiasi nili punch millioni tatu badala ya laki tatu hivyo Nina deni la kulipa kampuni

4.maboss wangu hawaniamini tena kila nikiwaona napatwa wasiwasi muda wowote naona naweza kuwa terminated kazini .

5.Staff wenzangu wamekuwa wakiwa pembeni huntsman kuhusu utendaji wangu wa kazi naonekana ni poor performance

Hivyo nahitaji msaada wenu wa kimawazo hapa nilipo bado nipo dilema
Ukiona hivyo jua elimu yako na kazi yako haviendani
haiwezekani kazi simple hivyo uiache eti kwa sababu ya kutokuwa makini!

Nipatie mimi hata siku 2 uone
 
Kuhusu hilo la kutoa risiti kubwa kuliko uhalisia nitafute private nikushauri kurekebisha ni rahisi sana lisikusumbue
 
Kwani unalipwa bei gani?
Pili anza kufanya mazoezi y viungo amka asubuhi n mapema kisha fanya tiki oga nenda job. Na ukirdi fanya tizi kisha lala. Full stop
 
nina experience ya kufanya kazi private sector, huwa mara nyingi huwa kusa kwao ni kosa hata kamba una perform well 100%ukikosa mara moja km unataka kuua company, first relax fanya kama ni mapito, maana hakuna kosa kubwa yote yana solvika vzr tu.
mfano iyo kutoa risiti kubwa si tatizo ukikosea unatakiwa utoe risiti sahihi hlf toa kopi ya risiti uliokosea na iliyo sahihi kisha utaandika barua ya kueleza umebonyeza kitufe sio sahihi unapeleka TRA iliyo karibu
NB. hakikisha unatoa copy ya barua na risiti zake na unapopeleka TRA hakikisha unapigiwa mihuri mpka copy zako
kingine ni muhimu uongozi kujua t ili wanapofanya hesabu za mwaka wapelek kithibitisho..... not big issue mi niliwah toa risiti kwa tarakimu ya tin number yaan 900m na kitu tena mara mbili
 
Back
Top Bottom