Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

Nimeanza ivi,mpunga una wiki tatu nashukuru Mungu na vuli imeanza Kunisaidia kumwagilia
 

Attachments

  • IMG_20171027_125156.jpg
    IMG_20171027_125156.jpg
    238 KB · Views: 84
hata kama una ardhi tayari lakini kwa laki saba haitoshi:
je una mbegu za mpunga za kutosha ekari tatu?
je umeandaa pesa ya chakula kwako na wasaidizi wako?
je umeandaa pesa ya kulinda ndege?(kama wapo)
hivyo kwa ushauri wangu jaribu kukaa chini na kufikiria vitu vingi kabla ya kuanza ili usije ukafanya vitu vya kuwachekesha walionuna.
ushauri mzuri wengi hawaelezi changamoto unakutana nazo katikati ya safari na fedha imeisha
 
Huku kukatua 50,000
Kuvuruga 50,000
Kupanda 50,000
Palizi 50,000
Kukodi 100,000
Kuvuna 100,000
Hapo mpunga upomkononi mwako
Mbolea na dawa hujagusa mkuu?
Usafirishaji kutoka shamba mpaka kwenye Ghala?
Vifungishio?
 
Back
Top Bottom