Ankokidevu
Member
- Apr 5, 2014
- 8
- 21
Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore.
Baada ya kuipeleka kwa fundi aliniuliza kama naweza kukumbuka email na password za google akaunti yangu ili aitengeneze. Taarifa hizo za akaunti yangu nilikuwa nimezisahau.
Fundi ilimlazimu kufanya anachokijua yeye na simu ikawaka. Nilipoendelea kuitumia nilibaini yafutayo.
1. Kuna security alert kwamba kuna kitu si cha kawaida kimekuwa installed kwenye simu yangu.
2. Internal memory storage inaonesha imejaa hata kama hujeweka app yeyote ukiacha .zile App common zinazokuja na simu ikiwa mpya.
3. Ufanisi wa simu umepungua sio kama wa zamani
4. App za simu hiyo kwa sasa haziko kama ilivyokuwa mwanzo wakati nainunua dukani
5. Baadhi ya App hazifanyi kazi kama youtube japo hili ziliacha kufanya kazi hata kabla ya simu kuharibika baada ya samsung kunitumia meseji kwamba hawatatoa update tena za App ya aina ya simu yangu.
Japo nimenunua simu nyingine lakini nahitaji kuirekebisha niweze kuiuza au kumpa mtu mwingine aitumie haina shida nyingine tofauti na hayo niliyoeleza
Karibuni mafundi mnishauri cha kufanya.