Msaada: Naenda arusha nifikie wapi?

Inategemea unapenda maeneo yapi? yenye mishemishe na totoz za kununua ingia mitaa ya Mrina na Picnic kuna nyumba kibao. Mitaa ilotulia nenda Naura, Impala

unajua utakuwa umeua bila kukusudia....hasa akizingatia ushauri wako hapo kwenye blue
 
Impala mbona tushaisikia sana, nasikia ni level za kempiski, wala sina hisabati za kwenda huko. mi si nimesema 15 - 25 jamani mbona mnfanya hivi, we una 25 utawaza kempiski kweli? :)
 
mwaya ngoja nikwambie....wewe ukifika A-Town nenda mitaa ya makao mapya....kuna viguest house vizuri vizuri huna haja hata ya kuumiza kichwa....kama vipi mwambie dereva taxi akupeleke then unajichagulia unachotaka.....simple....sio sehemu ambayo utapotea
 
Asanate kwa maelezo, jamaa kaniambia ofisi zipo sanya2, alisema nikifika tu hapo sanya 2 basi nikiulizia TIB ndo hapohapo so navosikia tena sanya 2 ipo moshi nashangaa
Exactly, utakuwa umefika...Eneo hilo ni karibu na Clock Tower, ambapo ndiyo City Center ya Arusha!..si pagumu kufika..nadhani umepata PM yangu!
 
Impala mbona tushaisikia sana, nasikia ni level za kempiski, wala sina hisabati za kwenda huko. mi si nimesema 15 - 25 jamani mbona mnfanya hivi, we una 25 utawaza kempiski kweli? :)

Nenda makao mapya, kuna davoz hotel na chenille Inn price ni 25 bed an breakfast!
 
mwaya ngoja nikwambie....wewe ukifika A-Town nenda mitaa ya makao mapya....kuna viguest house vizuri vizuri huna haja hata ya kuumiza kichwa....kama vipi mwambie dereva taxi akupeleke then unajichagulia unachotaka.....simple....sio sehemu ambayo utapotea

asante mwaya :)
 
kama kawaida, napokua na issue na nataka kupata maujanja fasta huwa natacheck JF, na mara zote hamjaniangusha.

Naenda arusha kikazi for three four days, sijwahi kwenda arusha before, sehemu gani nzuri ya kufikia na ya bei nafuu? ofisi iko maeneo ya sanya 2, nikipata sehemu ntayolipa 15-25 thousand itakua poa sana
Fikia arusha naaz hotel,iko karibu sana na TIB.
 
mwaya ngoja nikwambie....wewe ukifika A-Town nenda mitaa ya makao mapya....kuna viguest house vizuri vizuri huna haja hata ya kuumiza kichwa....kama vipi mwambie dereva taxi akupeleke then unajichagulia unachotaka.....simple....sio sehemu ambayo utapotea

Mmmh! nimekupenda ghafula bibie., maana unavyojua directions za hizo nyumba, we noma :msela:msela:
 
kama hatapaweza basi aende Ngalelo.....kuna gesti hausi nyumba ya wageni moja babkubwa inaitwa Milano
Mmmmhh!! Ngalelo?? Milano pale ni soo!! Kuna mshikaji wangu alishawahi fikia pale kesho yake alitoka mikono mitupu. Labda kama kuna marekebisho.
M
 
Impala mbona tushaisikia sana, nasikia ni level za kempiski, wala sina hisabati za kwenda huko. mi si nimesema 15 - 25 jamani mbona mnfanya hivi, we una 25 utawaza kempiski kweli? :)

Ukienda karibu na maeneo ya Sheikh Karume kuna hotels kama AM, Stereo, nk nk. na ni karibu na kituo kikuu cha dala x2 so hutohitaji taxi.
Hizo za town centre kabisa ni bei juu
 
Back
Top Bottom