- Thread starter
- #21
unaenda moshi au arusha? Sanya si arusha.
naenda arusha, am told kuna sehemu inaitwa sanya 2, sio sanya juu ni sanya 2
unaenda moshi au arusha? Sanya si arusha.
Inategemea unapenda maeneo yapi? yenye mishemishe na totoz za kununua ingia mitaa ya Mrina na Picnic kuna nyumba kibao. Mitaa ilotulia nenda Naura, Impala
Impala mbona tushaisikia sana, nasikia ni level za kempiski, wala sina hisabati za kwenda huko. mi si nimesema 15 - 25 jamani mbona mnfanya hivi, we una 25 utawaza kempiski kweli?
Exactly, utakuwa umefika...Eneo hilo ni karibu na Clock Tower, ambapo ndiyo City Center ya Arusha!..si pagumu kufika..nadhani umepata PM yangu!Asanate kwa maelezo, jamaa kaniambia ofisi zipo sanya2, alisema nikifika tu hapo sanya 2 basi nikiulizia TIB ndo hapohapo so navosikia tena sanya 2 ipo moshi nashangaa
Impala mbona tushaisikia sana, nasikia ni level za kempiski, wala sina hisabati za kwenda huko. mi si nimesema 15 - 25 jamani mbona mnfanya hivi, we una 25 utawaza kempiski kweli?
mwaya ngoja nikwambie....wewe ukifika A-Town nenda mitaa ya makao mapya....kuna viguest house vizuri vizuri huna haja hata ya kuumiza kichwa....kama vipi mwambie dereva taxi akupeleke then unajichagulia unachotaka.....simple....sio sehemu ambayo utapotea
. . . .nadhani umepata PM yangu!
karibu A-Town....JF HQ
Exactly, utakuwa umefika...Eneo hilo ni karibu na Clock Tower, ambapo ndiyo City Center ya Arusha!..si pagumu kufika..nadhani umepata PM yangu!
Fikia arusha naaz hotel,iko karibu sana na TIB.kama kawaida, napokua na issue na nataka kupata maujanja fasta huwa natacheck JF, na mara zote hamjaniangusha.
Naenda arusha kikazi for three four days, sijwahi kwenda arusha before, sehemu gani nzuri ya kufikia na ya bei nafuu? ofisi iko maeneo ya sanya 2, nikipata sehemu ntayolipa 15-25 thousand itakua poa sana
mwaya ngoja nikwambie....wewe ukifika A-Town nenda mitaa ya makao mapya....kuna viguest house vizuri vizuri huna haja hata ya kuumiza kichwa....kama vipi mwambie dereva taxi akupeleke then unajichagulia unachotaka.....simple....sio sehemu ambayo utapotea
Mmmmhh!! Ngalelo?? Milano pale ni soo!! Kuna mshikaji wangu alishawahi fikia pale kesho yake alitoka mikono mitupu. Labda kama kuna marekebisho.kama hatapaweza basi aende Ngalelo.....kuna gesti hausi nyumba ya wageni moja babkubwa inaitwa Milano
Ero!halafu wewee....
Sanya ipo mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai
Impala mbona tushaisikia sana, nasikia ni level za kempiski, wala sina hisabati za kwenda huko. mi si nimesema 15 - 25 jamani mbona mnfanya hivi, we una 25 utawaza kempiski kweli?
watu wengine bwana...
kafikie Gongolamboto