Msaada: Mwanafunzi wa kike kupotea kwao haonekani siku ya 5

Ni binti mdogo tu wa jirani yangu huku Tanga mtaa wa kange kasera, kamaliza darasa la saba mwaka huu anasubiri majibu.

Baba yake ni bodaboda tu hana kipato kikubwa na hua anachelewa kurudi nyumbani, siku kama tano nyuma alirudi nyumbani usiku binti hayupo...
Hiyo picha ulipewa hukupewa? Kama ulipewa c uweke hapa huenda kuna wanaomwona mtaani

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Nani huyo sasa?
Bint? Kama ni bint inabadilisha nini katika Ushauri wangu?
Baba?
Kama ni Baba, haileti tofauti pia as long aliyeleta mada sio yeye, hivyo mpokeaji ataenda kumshauri.
Nasema mwanaume . Binti tayari tumesha ambiwa ana miaka kumi na tatu. Umesema jamaa ni fala kwa kumuacha mtoto awasiliane na wazazi na Mimi ndio nimesema usidhani atakuwa mtu mzima probably atakuwa dogo tu under 18
 
Ukimkuta mbaba maeneo ya wodi ya wazazi,ukimuuliza vipi shemeji kashajifungua,akikiujibu ndiyi,ukimuuliza tena, kaleta wa kiume au wa kike, akikujibu wa kike, unamuona usoni hana furaha sana, kama mbaba ambaye anajibu 'wa kiume'. Watoto wa kike baadhi yao ni changamoto.
 
Poor Brain njoo huku utoe ushauri
Alafu ni tanga sasa πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ingekua mbeya au iringa hukoooo
Ningetoa ushauri ila tanga khaaa.
Mbona inajulikanaπŸ˜‚πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Ngoja watasema tuu
 
Alafu ni tanga sasa πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ingekua mbeya au iringa hukoooo
Ningetoa ushauri ila tanga khaaa.
Mbona inajulikanaπŸ˜‚πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Ngoja watasema tuu
Mtoto mwenyewe kaenda kuibukia kwa toto la kimakonde .
Miuno kama yote
Binti mwenyew sasa ndo usisemeeee.
Yaani hapo ni kutoa baraka tu maana wakienda polisi hata hao polisi wenyewe watawaona ni Poor Brain πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mtoto mwenyewe kaenda kuibukia kwa toto la kimakonde .
Miuno kama yote
Binti mwenyew sasa ndo usisemeeee.
Yaani hapo ni kutoa baraka tu maana wakienda polisi hata hao polisi wenyewe watawaona ni Poor Brain πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Daaah weee jamaaa wewe...πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtoto wa kike ni mzuri sana akiwa mdogo bado hajavunja ungo ila akishavunja ungo unaweza kumchukia. Ni risks sana kumsomesha mtoto wa kike. Hebu imagine kama jamaa angekuwa kamsomesha binti huyo English Medium
Unajaribu kusema wangu nisimsomeshe?
 
Back
Top Bottom