Msaada: Mnawezaje kuishi na mtu mnafiki?

Msaada: Mnawezaje kuishi na mtu mnafiki?

Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.

Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu wafu hai ya nini kurembeana mwandiko🤒
Kwa nini uteseke wakati mimi nipo? Njoo kwangu nikupe pumziko la moyo wako
 
Uzur mwenye hii ID hata umwandikie negative comment atakujibu vzr na mtajibiwa wote!
 
Rule number 1
Usijaribu kumchukia adui yako kazini mpaka akagundua kuwa unamchukia maintain that.

Smile nae meno sitini lakini deep down unajua “yani huyu nikiambiwa nimsukumie mtoni kwenye mamba wengi aliwe unamsukumia”

Kazini hakuna undugu mama…kuna kipindi nilileta uzi huku kuhusu chuki makazini[emoji16][emoji16]kuna mtu mmoja alinifuata pm na sasa Ushauri wake ninaufanyia kazi asilimia buku ten

Hallelujah
Aisee hii ni point Moja muhimu. Kuna kipindi nimepambana na mahasimu wangu ofisini, mwisho wa siku nikaona tunakokwenda sio kuzuri, ikabidi nibadili mbinu. Sasa hivi nacheka nao ila moyoni najua Hawa ni kipata upenyo nachinjilia mbali kabisa
 
Mkuu mtu kama huyo unatakiwa umkate na kama anakuganda ishi nae kijapan .
Kwenye biblia Tito 3:10 imeandikwa mtu aliye mzushi baada ya kumuonya mara ya kwanza na mara ya pili mkatae.
 
Mnafiki unampeleka kinafik hvyohvyo mtafika sehem either unafki uishe au ukweli utawale muachane that is hamna matokeo zaid ya hayo mawili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom