Msaada: Mnawezaje kuishi na mtu mnafiki?

Mbona kila mtu anayeleta uzi huwa anajiona yupo sahihi kwa kila jambo? Yaani anajilinda. Hao wanaokuwaga wanafiki huwa wako wapi? Wenye roho mbaya huwa wanaishi wapi? Wachoyo, wachafu, washirikina huwa wako wapi?

kila anaeleta mada anamzungumzia mtu ambae si yeye binafsi, wachangiaji huchangia kuhusu watu wengine wenye sifa hizo. Ina maana hao wachoyo, washirikina, wabinafsi, wachafu na wanafiki humu hawamo? Au hawana simu ndio maana hatuwaoni
 
Binadamu hatufanani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom