🤣🤣🤣 Kabisa YaanAisee hii ni point Moja muhimu. Kuna kipindi nimepambana na mahasimu wangu ofisini, mwisho wa siku nikaona tunakokwenda sio kuzuri, ikabidi nibadili mbinu. Sasa hivi nacheka nao ila moyoni najua Hawa ni kipata upenyo nachinjilia mbali kabisa
Metulia🤣🤣🤣 Tulia wewe 🤒
Hapo sawa ... mkate fastaSiyo mwanaume cute