Msaada: Mnawezaje kuishi na mtu mnafiki?

Msaada: Mnawezaje kuishi na mtu mnafiki?

Maisha bila unafiki hayaendi.nimejifunza unafiki kazini na ninaendelea vyema kabisa na role yangu mpya ya unafiki..only kazini.

Kwenye mapenzi sileti unafiki hasilani
Na ni job hata ivo mom....mi napita nao mpaka maji Waite mma
 
Aaaah! Mbona rahisi tu kama kumsukuma mlevi akikuleta unafiki na wewe mletee unafiki akidanganya na wewe danganya bac mutaishi miaka mia
 
Na ni job hata ivo mom....mi napita nao mpaka maji Waite mma
Rule number 1
Usijaribu kumchukia adui yako kazini mpaka akagundua kuwa unamchukia maintain that.

Smile nae meno sitini lakini deep down unajua “yani huyu nikiambiwa nimsukumie mtoni kwenye mamba wengi aliwe unamsukumia”

Kazini hakuna undugu mama…kuna kipindi nilileta uzi huku kuhusu chuki makazini😁😁kuna mtu mmoja alinifuata pm na sasa Ushauri wake ninaufanyia kazi asilimia buku ten

Hallelujah
 
Rule number 1
Usijaribu kumchukia adui yako kazini mpaka akagundua kuwa unamchukia maintain that.

Smile nae meno sitini lakini deep down unajua “yani huyu nikiambiwa nimsukumie mtoni kwenye mamba wengi aliwe unamsukumia”

Kazini hakuna undugu mama…kuna kipindi nilileta uzi huku kuhusu chuki makini😁😁kuna mtu mmoja alinifuata pm na sasa Ushauri wake ninaufanyia kazi asilimia buku ten

Hallelujah
Inakera sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom