Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,337
- 46,122
Wanawake na mambo yao..
🤣🤣🤣 pole kwa changamoto ila hapo sijakuelewaanajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.
Kweli hulijui?🤣🤣🤣Lipi tena mkuu?
Mkuu nilipoteza ile picha yako emu nitag kwenye ule uzi🤣🤣Hilo liupara hujaona?
Hapo sasa nimekuelewa huyo mtu ni jinsia gani?Yaan anaweza akajifanya anapenda kile ufanyacho kumbe anaumia
Daaah basi njoo PMNilifuta siku ileile
Nilitaka kujua ikiwa kuna mtu anakunafikia sasa hivi jinsia yakeKatika mazingira yako watu wanafki wamepangwa kijinsia mkuu?
Mi ninayo vipi nimtag?Nilifuta siku ileile