dongbei
Senior Member
- Jan 18, 2013
- 151
- 140
Poleni na mapambano wakuu.
Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo.
Naomba kufahamu uchanganuzi wa material hasa ya nondo za kujengea nguzo kwa awamu ya kwanza i.e hadi level ya chumba cha kwanza(chini) nasema hivi kwa maana nakijenga kwa awamu. Nataka nianze chumba cha chini na baadae nitamalizia cha juu.
Pili, ghza arama ya nondo na cement za slab ya floor. Awamu ya kwanza nataka ikamilishe hadi slab. Hivyo naomba uchanganuzi wa gharama za vifaa hivyo hadi level hiyo. Ukipendekeza na material mfano ni nondo za aina gani zitumike kwa eeo lipi nitashukuru zaidi. Piaitu kama binding wire na stirrups, etc.
Natanguliza shukrani za dhati.
Dongbei!