Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Dar es Salaam

Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Dar es Salaam

duh mkuu...you are a blessing, ahsante kwa kuchukua muda wako kunielemisha ndugu.natumain kigamboni ni pana, so ni maenel gani ambayo yapo bomba zaidi..
Inategemea na mahitaji yako, nikimaanisha shughuri unazofanya, pia unapendelea mazingira gani ya kujichanganya i mean katikati ya mji au scatted ya kujitenga maana kuna watu wanapenda Maeneo tulivu yasiyo na kelele na population kubwa ya watu.
 
Habari wana JF,

Kwa wale Wana-Ndugu ambao wanaifahamu Dar es Salaam vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?

1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Sio pakishua sanaa/Expensive estate
3. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
4. Hakuna tatizo la maji tiririka
5. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
6. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
7. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua

Ahsante.
Kurasini mkuu, hasa maeneo ya Kota za Bandari. Nyumba nzuri zenye service zote, mjini unakwenda hata Kwa miguu, karibu na bahari upepo mzuri, na kodi Kawaida tu.
 
Habari wana JF,

Kwa wale Wana-Ndugu ambao wanaifahamu Dar es Salaam vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?

1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Sio pakishua sanaa/Expensive estate
3. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
4. Hakuna tatizo la maji tiririka
5. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
6. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
7. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua

Ahsante.
Mikocheni B
 
mkuu jina halisi , nisaidie mawili matatu kuhusu maeneo hayo..

Kwanza ukija kigamboni usikae ferry,kule ni kwa vijana wa chuo,maeneo kama kisiwani vyumba ni bei rahisi na classic na hakuna uswahili kama uswazi.
Pili kufika city center ni kitendo cha haraka na nafuu kisicho na usumbufu,huduma zote muhimu si zakutafuta bali zipo tayari.
 
Huko nasikia maji ni changamoto sana, maji ya chumvi ndo yametawala!!

Kwa dar es salaam hakuna sehemu isiyokuwa na maji chumvi,hilo tusidanganyane hapa.
Lakini maji yasio ya chumvi mara nyingi uwa ni yakununua au yale ya mradi ambapo kwa sehemu kama kisiwani yapo bila shida.
 
Habari wana JF,

Kwa wale Wana-Ndugu ambao wanaifahamu Dar es Salaam vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?

1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Sio pakishua sanaa/Expensive estate
3. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
4. Hakuna tatizo la maji tiririka
5. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
6. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
7. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua

Ahsante.
Uzuri wa sehemu ni relative term
 
Inategemea na mahitaji yako, nikimaanisha shughuri unazofanya, pia unapendelea mazingira gani ya kujichanganya i mean katikati ya mji au scatted ya kujitenga maana kuna watu wanapenda Maeneo tulivu yasiyo na kelele na population kubwa ya watu.
eneo tulivu, population isiwe dense sanaaa...
 
Kwa dar es salaam hakuna sehemu isiyokuwa na maji chumvi,hilo tusidanganyane hapa.
Lakini maji yasio ya chumvi mara nyingi uwa ni yakununua au yale ya mradi ambapo kwa sehemu kama kisiwani yapo bila shida.
nikishafika kigamboni..itanibidi nipande dala dala za kisiwani or what..
 
nikishafika kigamboni..itanibidi nipande dala dala za kisiwani or what..

Kuna bajaji ambazo zitakufikisha mpaka ferry,ila unaweza panda gari zinazopita darajani napo ukafika kwa uhakika na haraka zaidi,inategemea na unapoenda au unapotoka.
Na sasa wanamalizia barabara inayotoka darajani kuelekea kibada kwahiyo kutakuwa na magari ya moja kwa moja mpaka mjini.
 
Wakati nipo dar nliishi mbezi beach ni pazuri Sana pia nlikaa kidogo sinza pia pazuri ata usafiri sio washida Kama unaenda kupanga nyumba angalia sehem isiwe mbali na mji wala mbali na barabara pia zingatia usafiri na Kama panafikika kirahisi
 
1.Sio pa kishua sana pia sio uswazi
2.Hakuna matukio ya wizi na ya ajabu ajabu
3.Hakuna tatizo la maji kabisa
4.Upatikanaji wa huduma za kijamii upo karibu Hasa hicho kiosk/usafiri upo/mandhari nzuri/upepo mwanana tena huku kibangu juu unaona City view yote
5.Hapajawahi kukumbwa na mafuriko hata siku
6.Hakuna uswahili uswahili kila mtu na maisha yake
Nipo nawe. Me mwenyewe naishi ubungo kibangu
 
Ingia kigamboni mzee,ndio mwisho wa shida zote,pande za kisiwani panakufaa sana,na sasa wanamalizia lami ndio panakuwa pakishua zaidi na maisha ni nafuu sana.
Mkuu Kisiwani iko Kigamboni ipi ile njia ya kwenda Buyuni?
 
Back
Top Bottom