RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,508
- 135,546
Kumbe mbezi beach sio gharama sana?Kwa kuzingatia vigezo vyako hususani kigezo Cha eneo lisiwe la gharama sana.
Nenda kaishi Mbezi Beach ya Chini utakuja kunishukuru.
Kumbe mbezi beach sio gharama sana?Kwa kuzingatia vigezo vyako hususani kigezo Cha eneo lisiwe la gharama sana.
Nenda kaishi Mbezi Beach ya Chini utakuja kunishukuru.
nashangaaa@Nyukii sijakuelelewa..unakubaliana na Diana Spencer au umeshangaa..?
Zamani miaka ya nyuma kulikuwa kuzuri sana,maeneo ya Uhindini kuelekea mpaka magorofa ya NHC Keko,sijui siku hizi kukoje...Chan'gombe kuko vyema Sana ..
hahaa..nishafanya ara, mwz.. sasa ni dar..soon mbeya, mmenisaidia kwa kweliMsaada: Maeneo mazuri ya kuishi Arusha
Mtoa mada umebakiza mji gani mkubwa?
Huko nasikia maji ni changamoto sana, maji ya chumvi ndo yametawala!!Ingia kigamboni mzee,ndio mwisho wa shida zote,pande za kisiwani panakufaa sana,na sasa wanamalizia lami ndio panakuwa pakishua zaidi na maisha ni nafuu sana.
tabata ipi boss, au yote iko mwake.Njoo tabata
1.Sio pa kishua sana pia sio uswazitupe wawili matatu kuhusu ububgi kibangu
mkuu jina halisi , nisaidie mawili matatu kuhusu maeneo hayo..Ingia kigamboni mzee,ndio mwisho wa shida zote,pande za kisiwani panakufaa sana,na sasa wanamalizia lami ndio panakuwa pakishua zaidi na maisha ni nafuu sana.
Unataka immediately kuanzia lini?i accept your challenge, so utanipatia direction pia.
master-sebure-jiko, ndani ya geti, descent street, 150k to 200k per month, unganisha na specifications zangu za juu.
ahsante kwa muda wako... ahsante sana .nitandelea kupafahamu zaidi..1.Sio pa kishua sana pia sio uswazi
2.Hakuna matukio ya wizi na ya ajabu ajabu
3.Hakuna tatizo la maji kabisa
4.Upatikanaji wa huduma za kijamii upo karibu Hasa hicho kiosk/usafiri upo/mandhari nzuri/upepo mwanana tena huku kibangu juu unaona City view yote
5.Hapajawahi kukumbwa na mafuriko hata siku
6.Hakuna uswahili uswahili kila mtu na maisha yake
Yotetabata ipi boss, au yote iko mwake.
Kila mtu ni mrefu sema unakuwa unajilinganisha na nani !Kumbe mbezi beach sio gharama sana?
hahaKila mtu ni mrefu sema unakuwa unajilinganisha na nani !
haha..daah.nenda tabata, kuna K kibao kule hulali na nyege hata siku moja
Goba kuna baadhi ya sehemu kuna maji ya bomba na mradi unaendelea wa kuweka maji safi ya bomba.huko kuna shida ya maji mkuu utatumia maji ya chumvi uwe na ngozi kama ya mamba