No Escape2
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 228
- 323
Kuanzia Tegeta mpaka B.moyo....
Halafu wanachenjua makinikia ?Goba sio tu wezi, bali unaingiliwa ndani mwako usiku umelala
Sinza ipi?Sinza hamnaga ushenzi,kule ni bata tu
Nenda kijitonyama chumba na sebule na choo, 150k to 200k, kakobe streeti accept your challenge, so utanipatia direction pia.
master-sebure-jiko, ndani ya geti, descent street, 150k to 200k per month, unganisha na specifications zangu za juu.
hii ndio pointi ya msingi maeneo mengi ya dsm yanafanana fanana, na ni kawaida mji huu kukuta jirani kajenga ghorofa pembeni nyumba ya vyumba viwili, ama huyu anaishi kizungu kabisa halafu jirani anaishi kiswahili kimtaani kabisa, la msingi anagalia umbali wa unapokaa na kazini, ila lifestyle ni maamuzi yako na aina ya nyumba uliyopanga maana hata hiyo manzese yenye tandale kuna watu wamepanga apartment mpya mpya za barabarani na morogoro road , wako karibu na mwendokasi wako karibu na mjini na ubungo haf ni manzese hiyohiyoKila eneo ni zuri kuishi Dar es salaam, cha muhimu uwe na hela tu...hata ukikaa tandika au tandale utakuwa mfalme tu...Focus maisha kwanza achana na biashara ya maeneo gani mazuri kuishi huku unakwenda kupanga...
Unataka akae Kibamba na Kiluvya serious?Kitunda mwanagati, buza baadhi ya maeneo, tabata baadhi ya maeneo(segerea,kinyerezi etc ) goba, makumbusho, ubungo, kimara, kibamba, Kiluvya, ......nimechoka kuandika
Unataka mkewe akasumbuliwe na wahuni wa SinzaSinza hamnaga ushenzi,kule ni bata tu
Kkoo ndio kila kituHabari wana JF,
Kwa wale Wana-Ndugu ambao wanaifahamu Dar es Salaam vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?
1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Sio pakishua sanaa/Expensive estate
3. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
4. Hakuna tatizo la maji tiririka
5. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
6. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
7. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua
Ahsante.
Tabata ...bima,segerea,kinyereziHabari wana JF,
Kwa wale Wana-Ndugu ambao wanaifahamu Dar es Salaam vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?
1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Sio pakishua sanaa/Expensive estate
3. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
4. Hakuna tatizo la maji tiririka
5. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
6. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
7. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua
Ahsante.
duh mkuu...you are a blessing, ahsante kwa kuchukua muda wako kunielemisha ndugu.natumain kigamboni ni pana, so ni maenel gani ambayo yapo bomba zaidi..Njoo uishi kigamboni nitakupa na sababu. Before mm nilikuwa naishi sinza, maisha ya sinza kwa kijana anaetaka kuwa na Mae ndeleo sio pazuri hata kidogo...kwa sababu kuna vishawishi vya kila aina kuhusu swala zima la starehe.
Pili aina kubwa ya watu utakakutana nao sinza, sio watu wa kukupa mawazo ya kimaendeleo wengi wao wanawaza starehe na kuvaa. Kama ujuavyo Mazingira yananguvu kubwa sana ya kubadilisha maisha ya mtu.
Nije kwenye point kwa nini kigamboni.
1. Ni mji unandelea kukua kwa kasi hivyo nirahisi ukiwa mkazi wa huku kununua eneo lako (Kiwanja) kwa ajili ya kuandaa makazi yako ya kudumu.
2. Huduma zote muhimu zinapatikana kama vile Maji, umeme, Hospitali n.k
3. Aina ya watu waliowengi waishio kigamboni ni watu wa kipato cha kati na juu, hivyo nirahisi kuwa na motisha ya kimaendeleo.
4.Usafiri unapatikana 24hrs , pia ni karibu na mjini hivyo nirahisi kufanya mambo yako kirahisi zaidi.
5. Ni mji wenye mipango mikubwa sana ya maadae, kiufupi ndio itakuwa Miami ya Dar es salaam hivyo ukifanikiwa kujenga makazi ya kudumu kigambonk i swear huwezi kujuta baadae.
6. Mazingira ya maeneo mengi ni ya kuvutia nyumba nyingi zimejengwa kisasa...hivyo hata akija mgeni wako uko proud ukiamini unakaa mazingira mazuri.
7. Ni sehemu yenye usalama, uhalifu huwezi kukosekana sehemu yoyote lakini kuna kuzidiana ukifwatilia matukio ya kiuhalifu kwa mkoa wa Dsm kigamboni utaisikia mara chache sana.
Kwa hayo machache nafikiri unaweza kufanya maamuzi mazuri.
KARIBU SANA KIGAMBONI MKUU.
Kijichi ya wapi tegeta au mbagala?Wakati Niko Dar nili enjoy Sana kuishi Kijichi.
1.Nyumba nzuri afu Bei poa
2.Usafiri upo Lami Kona zote.
3.Huduma za kijamii zipo
4.Nenda Kijichi hutajutia Tena nakupa na connection ya nyumba kama ukitaka.
kupitia mimi wengi wanajifunza hapa..hata kama narudia topics.Heee...kumbe ndo zake
Bata sinza ilikua zamani siku hizi kumejaa makanisa tu,bata zimehamia tabataSinza hamnaga ushenzi,kule ni bata tu