una usafiri wako binafsi? ama unategemea kutumia Public trums?businessman, nategemea kuinvest hapo mwenge
public transp ..mkuuuna usafiri wako binafsi? ama unategemea kutumia Public trums?
Good.public transp ..mkuu
public transp ..mkuu
i will be glad..ukanidokezea mkuu hizo sehemu.Good.
mimi kama mtaalam wa mienendo ya foleni hapa dar, nakushauri upange sehemu ambayo haina shida sana ya upatikanaji wa magari hasa nyakati za usiku kama huu
Kuna ruti mkuu ikifika mida kama hii unakuta abiria mko wengi kama kumbi kumbi..
so take care
kwa sasa upo mkoa gani?i will be glad..ukanidokezea mkuu hizo sehemu.
thanks.
MbagalaGood.
mimi kama mtaalam wa mienendo ya foleni hapa dar, nakushauri upange sehemu ambayo haina shida sana ya upatikanaji wa magari hasa nyakati za usiku kama huu
Kuna ruti mkuu ikifika mida kama hii unakuta abiria mko wengi kama kumbi kumbi..
so take care
umenifungia pm with no reason.Mbagala
ebu niambie mikocheni inayoendana na hizo sifa zangunjoo mikocheni mkuu nyuma ya clouds FM huku kuko fresh watu wanapaogopa bure tu
nimeandika hapo nyuma ya clouds FM mitaa ile iko poa au kwa warioba kwa nyumaebu niambie mikocheni inayoendana na hizo sifa zangu
i appreciate ur infoAje Kimara hatojutia kwanza maji yanapitia huku kwenda tank kuu la maji pale Kimara DAWASA
Mwendokasi upo Kimara ndipo kituo kikubwa
Soko la kufungasha bidhaa wala sio lazima kwenda Kariakoo
Huku Mafuriko yatawafikia wa Ubungo kabla ya Kimara kwa sababu ipo juu
Hali ya hewa upepo kama wote hata kipindi cha fukuto hatuwazi sana
Kipo kituo cha afya Kimara kama wa kishua BOCH sio mbali pia
Diana we unatokea kwa wala bata tabata?Kale ka main road kao sikapendi kama nini, jau sana