Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,296
- 5,248
- Thread starter
- #21
duh..kumbe hatariGoba sio tu wezi, bali unaingiliwa ndani mwako usiku umelala
duh..kumbe hatariGoba sio tu wezi, bali unaingiliwa ndani mwako usiku umelala
@Nyukii sijakuelelewa..unakubaliana na Diana Spencer au umeshangaa..?seriously
naungana na uyu jamaakaa GOBA mkuu
upo sahihiGoba mkuu, Upepo mzuri sana pia hapajazana na hakuna uswahili wala wizi na pako kimya sana. Downfall maji ni ya kununua bomba bado hazijafika
ahsante mkuu for your elaboration ..ahsante.Goba mkuu, Upepo mzuri sana pia hapajazana na hakuna uswahili wala wizi na pako kimya sana. Downfall maji ni ya kununua bomba bado hazijafika
we umekaa ubungo ganiubungo ndio sehemu yenye wezi wa kila aina, kuwa makini sana
Toa specifications za nyumba kama vyumba vingapi, kuwe na nini, house rent Tsh kwa mwezi, kama unataka geti, njia ya gari, n.k.
Hao wanaokuambia Goba, Ubungo, na kwingineko bila kutaja Goba ipi ubungo ipi watakuingiza chaka.
Kila Sehemu kuna pazuri na pabaya isipokuwa Masaki na Oyster Bay tu hakuna pabaya ila gharama ndiyo kubwa.
huko kuna shida ya maji mkuu utatumia maji ya chumvi uwe na ngozi kama ya mambaGoba ya Mbezi...
i accept your challenge, so utanipatia direction pia.Toa specifications za nyumba kama vyumba vingapi, kuwe na nini, house rent Tsh kwa mwezi, kama unataka geti, njia ya gari, n.k.
Hao wanaokuambia Goba, Ubungo, na kwingineko bila kutaja Goba ipi ubungo ipi watakuingiza chaka.
Kila Sehemu kuna pazuri na pabaya isipokuwa Masaki na Oyster Bay tu hakuna pabaya ila gharama ndiyo kubwa.
tupe wawili matatu kuhusu ububgi kibanguAkaishi Ubungo kibangu hamna uswahili
Chan'gombe kuko vyema Sana ..Temeke hasa mwisho, uwanja wa taifa mpaka chang'ombe maduka mawili/uhindini/unubini.