Acha upimbi wewe wakurya Hana rafudhi ya LGali moja -Gari moja
Umeongea vzr ila vyote porojo kisa tu ulemavu wa kuharibu lugha daah nyie wakurya mnaboa sana
Rafudh ni kitu gani?...niambieAcha upimbi wewe wakurya Hana rafudhi ya L
Jarbu kubehave good, kama hujui kitu nyamazaGoba sio tu wezi, bali unaingiliwa ndani mwako usiku umelala
Goba gan unaijua ni uswazi..?Toa specifications za nyumba kama vyumba vingapi, kuwe na nini, house rent Tsh kwa mwezi, kama unataka geti, njia ya gari, n.k.
Hao wanaokuambia Goba, Ubungo, na kwingineko bila kutaja Goba ipi ubungo ipi watakuingiza chaka.
Kila Sehemu kuna pazuri na pabaya isipokuwa Masaki na Oyster Bay tu hakuna pabaya ila gharama ndiyo kubwa.
Mkuu Goba Matosa kuna sehemu ipo vizuri sana na kuna sehemu wamejenga kama Manzese viwanda vya 20x20 wamekata katikati na kuuziana, nyumba zimebanana.Goba gan unaijua ni uswazi..?
kijichi pako bomba sanaHabari wana JF,
Kwa wale Wana-Ndugu ambao wanaifahamu Dar es Salaam vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?
1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Sio pakishua sanaa/Expensive estate
3. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
4. Hakuna tatizo la maji tiririka
5. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
6. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
7. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua
Ahsante.
Habari wana JF,
Kwa wale Wana-Ndugu ambao wanaifahamu Dar es Salaam vizuri, ni Maeneo au Mitaa gani ya kuishi (kupanga nyumba/chumba) ambayo yanalandana na sifa zifuatazo?
1. Sio maeneo ya uswazi/uswahilini
2. Sio pakishua sanaa/Expensive estate
3. Hayana matukio makubwa ya wizi na vibaka
4. Hakuna tatizo la maji tiririka
5. Upatikanaji wa karibu wa huduma za kijamii na kiuchumi. (maji, kiosk, etc)
6. Inaweza kuwa nje ya mji ila isiwe mbali sanaa na mjini kivile
7. Haikumbwi na mafuriko wakati wa mvua
Ahsante.
Kweli jirani maana huku ukipata eneo la juu unakula upepo baharini wanasubiriKimara
Hyo Uzaram unayoisemea iko kimara mpakan na GobaMkuu Goba Matosa kuna sehemu ipo vizuri sana na kuna sehemu wamejenga kama Manzese viwanda vya 20x20 wamekata katikati na kuuziana, nyumba zimebanana.
Kinachofanya hapo paonekane afadhali ya Manzese nyumba zao ni mpya tupu. Maji machafu ya jirani yanapita kwa mwingine.
Kuna sehemu wanaita uzaramoni nako uswazi tu.
Goba kubwa sana kuliko unavyoijua, huenda hujazunguka mitaani hata nusu yake.
Matosa kuna uswazi sehemu flani mkuu.Hyo Uzaram unayoisemea iko kimara mpakan na Goba
Hakuna sehem uswaz goba, unazoleta ni porojo
Huo uswaz upo kimara sio gobaMatosa kuna uswazi sehemu flani mkuu.
Labda kama tuna tofautiana tafsiri ya uswazi.
Mkuu mpaka wa Goba na Kimara unajulikana wazo haina utata.Huo uswaz upo kimara sio goba
Note
Kimara na Goba zinapakana hapohapo matosa kuna mpaka
we unaijua sinza vizuriKaaa Sinza Kwa usalama wako, huko goba utachinjwa mchana kweupeeee, Sinza Hakuna wizi utarud hata saaa tisa usiku utatembea Kwa mguuu kila mahali taa zinawaka hakuna vibaka na sio uswahilini na kuna raha Sana Sinza kuliko eneo lolote la dar kwa wale wenye starehe za Kati na maisha ya Kati
Huku nyumba zinakuwaje, na bei zake zikoje mkuuKijitonyama!
[emoji1787]Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Arusha
Mtoa mada umebakiza mji gani mkubwa?
kwann sio Sinza au Kijitonyama au TegetaTabata kwa Ashura mtoto wa kitanga
Ubungo, Kimara na TabataUbungo