Msaada kwa wajuzi wa Sheria


Lipia Tangazo fundi umeme
 
Mkuu asante kwa japo kuelewa nilichokupitia. Na ulichosema ni kweli nilikosea sana kuwategemea polisi nilikua nimepatwa na bumbuwazi mkuu nadhani na Wao waligungua hilo ndio maana wakatumia nafasi hiyo kunitoa upepo
 
Mkuu nikiwa na dharula yoyote ofisi haifunguliwai. ANAYEFUNGUA OFISI NI MIMI TU
Mkuu dharura ni nyingi! Hebu fikria umedondoka ghafla na kurudisha jezi ofisi si lazima itafunguliwa? Kumbuka mkuu sisi binadamu ni miti mibichi hatuna Guarantee na maisha yetu!
 
Kukodi polisi private ghalama inaweza kuwaje au ni makubaliano yenu tuu
 
Mwizi akifa ndani ya nyumba ya biashara maana yake huyo kakutana na stahiki yake...
 
Maisha ni zawadi peke binadamu tulionayo, ila nasikitika kuona vijana wanaacha kufanya kazi ya halali na kuingia kutafuta njia fupi yenye mafanikio ya hatari

Ndugu yangu naomba tena na tena ukae na ufikiri jambo lako ulioamua kulifanya,
 
Safi kabisa...mwizi dawa yake ni kifo tu.....polisi ukiwapelekea taarifa yakuibiwa wala hawakupi sana kipaumbele...bora kuwaua hao mbwa kwa namna yoyote
 
Labda Kiswahili kigumu, kasiki kwa ki inglish inaitwaje?
 
Kanyaga twende kiongozi tumechelewa MNO.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…