Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani


!
!
ungeweka kwa kiswahili ingependeza mno......kiingereza cha Biblia kigumu mno
 

Muulize Paul Makonda!

Anamfahamu kwani alitoa maelezo kwenye bunge la katiba kana kwamba ni majirani zake!
 

!
!
kumbe alikataa kumsujudia binaadamu na sio Mungu?
 
Pia umejifunza vibaya hakuna mahali popote kwenye biblia takatifu au katika mahubili ambapo shetan ametajwa kama Bwana.

!
!
siajataja source yoyote na niko interested kumjua shetani tu wheather atoke kwenye biblia au mahali pengine kokote
 

!
!
kwa hiyo kaka kuna Mungu au miungu kibao tu, au? Je hii ina maana pia kuna Shetani wengi pia?
 

!
!
mjini chai kwa huku niliko haiwezekani kabisa kufanya huo mchezo, au labda nijitie wendawazimu. Maana hapa kutoka uchi mida hiyo hawatanielewa na huwa hapakauki watu, lakini pia nimeogopa kidogo mkuu. Je wewe ulishawahi kufanya hayo na kumuona?...yukoje yukoje kwani
 
Kituru sijakuelewa? Wewe kweli ndiye shetani ambaye tunamuomba Mungu atulinde na mabaya ya huyu shetani, au wewe ni mshirika wake au au au au au?
 
!
!
hapa ndipo sehemu na mimi nilikuja kujiuliza mno na kutaka kumjua shetani pia......may be shetani pia ana nguvu mno na "hawezekaniki"?sijui lakini ngoja niendelee kujifunza

 
!
!
kumbe alikataa kumsujudia binaadamu na sio Mungu?

Yes binadamu ,nimekuambia yeye pia alikuwa malaika ..Allah alivomuumba binadamu kwa kutumia udongo aliwaambia wamsujudie binadamu ,yeye akakataa kwa kusema hawezi kusujudu kiumbe kilichoumbwa kwa udongo wakati yeye ni moto...thats what I know...
 

!
!
kaka mbona unamuuliza mwenzio maswali ya kukomoa namna hiyo, duh
 

!
!
duh!aiseeee nazindi kuchanganyikiwa hapa.....bado sijamjua shetani nakutana na changamoto kuwa pia huenda hayupo
 
!
!
ooooh My God

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…