TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,649
- 1,128
Ukitaka kumfahamu au kukutana na shetani "tenda dhambi"
Mtenda dhambi si adui wa shetani bali mtenda mema
Ukitaka kumfahamu au kukutana na shetani "tenda dhambi"
hahaaaaaaaaa uuu n utan wa ngumi na watu wa tangaShelukindo ni watu wa Tanga......
Shemvua ni watu wa Tanga.....
Eddy Sheggy ni mtu wa Tanga.
Shetani atakuwa mtu wa Tanga pia.
hahaaaaaaaaa uuu n utan wa ngumi na watu wa tanga
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.

Hata kukataa Mungu kuwa hayupo ni imani. Kwasabau huwezi saidia madai ya kukataa kwako zaidi ya kuamini kuwa hayupo kwasababu huna uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo.Hakuna ushahidi wowote nje ya habari za kufikirika tu za imani kwamba shetani au mungu yupo.
.
Hata kukataa Mungu kuwa hayupo ni imani. Kwasabau huwezi saidia madai ya kukataa kwako zaidi ya kuamini kuwa hayupo kwasababu huna uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo.
Kukosa imani hakuwezi kuwa imani.
Kama kukosa nywele (kipara) kusivyoweza kuwa mtindo wa kusuka nywele.
Sitaki imani, nataka ujuzi.
Anayekataa kuwapo kitu hahitaji kufanya chochote zaidi ya kuuliza. The burden of proof is on the one saying there is something, not the one challenging.
Kama umesoma maneno yangu yamekuwa very carefully written.
Nini basi maana unakuja na historia ndeefu lakini huna ushaidi wa kusdaidi imani yako.
Kukosa imani kuhusu Mungu ni imani.
SASA TUMIA UJIZI WAKO NA TUPE USHAIDI KUWA HAKUNA MUNGU.
Kumbuka sina muda na longa longa zisizo na maana.
Ukimchinja Mbuzi katoriki nadhani utamkuta tu maana Bwana Yesu aliyaingiza ayo mashetani kwa hao manguruwe so kayatafute ukouko kwenye hizo mboga zenu SIE WASABATO NA WAISLAMU AKHA HATUYATUMII AYO MASHETANI
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.
"Kukosa imani kuhusu mungu ni imani" is an oxymoron.
Kitu ambacho hakipo hakina ushahidi kwamba hakipo.
Kwa sababu hakipo.
Kama ushahidi ni fingerprint, haupo. Kwa sababu kitu hakipo.
Kama ushahidi ni kivuli, haupo. Kwa sababu kitu hakipo.
Unataka nitoe ushahidi gani wakati kitu chenyewe cha kutolea ushahidi hakijathibitishwa kuwepo?
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.
Ulijuaje kama hakipo. Lete ushaidi kusaidia madai yako kuwa hakipo. Maneno matupu hayasaidii kitu.
Lete formula uliyo tumia mpka ukafikia kuwa kitu hicho hakipo. Si hitaji ayamkini katika majibu yako.
TUMIA UJUZI KATIKA MAJIBU YAKO.
Unatopo tumia "KAMA" katika majibu yako inamaanisha hujui wala huna ushaidi zaidi ya kuhisi tu kwa kutimia imani yako.
Nasubiri ushaidi usio na "KAMA"