Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Shetani anaishi Lumumba kwenye nyumba ya kijani upendelea kuvaa nguo ya kijani nyeusi. Ana mabaka pembeni ya njano. Anapenda ufisad; ukatili; wizi wa Mali za umma. Na madawa ya kulevya. Upenda kuishi peke yake Tz
 
nyie watu mnaogopesha,yaani mnatamani kumjua vizuri lucifer mkuu wa majini?jitahidini mtamjua vizuri
 
shetani ni mungu wa dunia hii so tunaish nae nashangaa kutokumwelewa kwako....mwone kingunge ngombale mwiru
 
Shetani huyu mgosi?

Ni Mtanzania mwenzetu, mwenyeji wa Tanga wilaya ya Korogwe. Ni wa nasaba ya SHE na hawa ni ndugu zake:
SHElukindo
SHEbarua
SHEkiondo
SHEmzigwa

Ukitaka kumuona Shetani gombana na wazazi wako
 
shetani ni nafsi yenye ouvu ambayo binadamu yoyote anaweza kua nayo.
hakuna kitu au kiumbe kinachofahamika kama shetani.
mtu jambazi ambaye anaweza kuondoa roho nyngne c shetani huyo.?
mtu akimwekea sumu mwenzake labda kwa tamaa za kidunia ni shetan pia...n.k!
hadisi za zaman znamuonesha shetan kama kiumbe kinachotisha kwa kua ile taswira inalengo la kumuogopesha mtu aachane na nafsi/roho ya kishetan.
miaka 28 umesoma juu shetan umepata majibu gan!!?
 
!
!
kwa hiyo hizi sijui alikuwa kiongozi wa sifa akatupwa ni kamjo tu na janja janja ya watu kutuogofya?
 
Unauliza kushoto wanakujibu kulia...
Hii ndo jf

Shetani au Lusifa alikaa mbinguni kipindi cha nyuma akiwa kama kiongozi wa sifa lakini baada ya Muda flani alitaka kuwa mkuu zaidi Mungu.

Ndipo Mungu akachukua Uamuzi wa kumtupa Duniani ndipo jamaa likaweka makazi yake duniani

unazani kwanini mungu alimtupa shetani duniani badala ya kumuangamiza kabisa? maana kwa uwepo wake dunia inaharibika je mungu anafurahia?
 
shetani ni kiumbe miongoni mwa viumbe vya MUNGU yumo katka kundi la majini.ameumbwa kwa moto, tofauti binadamu wliotokana na udogo wakati malaika wameumbwa kwa nuru,ila shetani ni kiumbe aliye laaniwa na MUNGU kwa kosa la kuto msujudia binadamu hivyo si vyema ukamwita mwenzako shetani. kwaleo ngoja niishie hapo
 
Back
Top Bottom