Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,902
- 3,984
Sidhani kama kuna kitu/mtu anaitwa shetani, hii ni abstract concept tu ambayo binadamu wanayo ili kujistfy maovu yao.
Ndo maana mtu akikosea hukimbilia kusema shetani wakati ni yeye mwenyewe ndo kakosea
Ndo maana mtu akikosea hukimbilia kusema shetani wakati ni yeye mwenyewe ndo kakosea