Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

you need to read this book
Get link below for pdf

black book.jpg

http://cdn.preterhuman.net/texts/re...cult_library/Robury_C-Black_Book_of_Satan.pdf
 
Hii shule ipo sehemu gani au wapi?

Mtu akisema nilisoma nae shule ya msingi songea ni sentensi tata,inaweza kua na maana nyingi,mfano
1. Alisoma nae kwenye shule inayoitwa "shule ya msingi songea"
2. Alisoma nae elim ya msingi mahali panaitwa songea.
Nadhani nimejibu swali lako.
 
Hujajibu swali..

Nimeuliza hivi,
Hiyo shule ipo sehemu gani au wapi?
Jibu linatakiwa liwe hivi,
Hiyo shule ipo..........................!
Nadhani umelielewa swali sasa...!
 
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.

Unapopata jaribu la kutenda Dhambi unakuwa katika mawazo mawili ,moja linakwambia fanya lingine acha. Lile linalokwambia fanya Dhambi kama uzinzi,wizi,uongo etc ndio shetani huyo uko naye hapo...
 
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.

Devil on line
 
habari wadau!
Kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana shetani.
Ili kumwelewa zaidi mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.
mie namjua shetani wa manchester united au......
 
Hata wewe unaweza kuwa shetani kutokana na matendo yako.

Ibilisi wa mtu ni mtu.
 
habari wadau!
kwa muda wa takribani miaka 28 nimekuwa najifunza kuhusu Mungu huyu muumba wa vitu vyote. Na nimekuwa najifunza pia uwepo jba uwezo wa bwana Shetani.
Ili kumwelewa zaidi Mungu nadhani ni muhimu kumuelewa shetani pia. Yoyote mwenye taarifa zitakazonisaidia kumjua shetani anisaidie.
Usipoteze mda wako kutaka kuwajua mashetani wakati manakutana kila siku wamevaa mashati ya kijani na kofia zimeandikwa CCM.
 
Juzi bungeni watoto wa shetani walitajwa pale bungeni ebu fuatilia vzr kwa hawa watoto utapata kujua alipo baba lao!
 
Shetani nilisoma nae shule ya msingi songea,alikua anakua wa mwisho darasani.
Baadae alihamia mbamba bay,nasikia alikua anakua wa kwanza huko

kwa sasa sijui yuko wapi,mara nasikia watu wanasema anaishi makaburini,mara baharini,mara mbinguni,sijui kwa kweli yuko wapi ila ni mtu mzuri sana.
Mlikuwa darasa moja na Komba?
 
Juzi bungeni watoto wa shetani walitajwa pale bungeni ebu fuatilia vzr kwa hawa watoto utapata kujua alipo baba lao!
Umekosea! Watoto wa shetani ni wale wezi wa EPA maarufu kama LIST OF SHAME Baba yao kakimbia kijijini kwao Masasi kaenda kujificha Lushoto!
 
Back
Top Bottom