Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,656
- 22,821
Nusu kijiko itatosha kweli?!Ukimkamata mmoja, ni kumnywesha cement nusu kijiko kidogo cha chai, unamuacha aende zake, pumbavu!
Nusu kijiko itatosha kweli?!Ukimkamata mmoja, ni kumnywesha cement nusu kijiko kidogo cha chai, unamuacha aende zake, pumbavu!
Yaani yupo sensitive muda wote, usiku halali akisikia movement tu anaamka🤣🤣🤣Aisee
18 chogo wakiikuta wanaivunja kabisa ili ukanunue kubwa yakembaya sana
Inatosha kuzoba kunya na Koo la chakulaNusu kijiko itatosha kweli?!
Sipendekezi afuate ushauri wako. Nimeshuhudia watoto wengi wakifa kwa sababu ya hili la kuweka umeme kwenye madirisha au fensi. Lazima kuna siku utasahau tu. eg Mke/mume anaweza kuugua ghafla usiku mkakurupuka kukimbilia hospital mkasahau.Madirisha yote unganisha na Umeme
Pia jitahidi kufuga mbwa ili awe anakuamsha
Madirisha ukiunganisha na Umeme uwe na kumbukumbu maana wtoto wetu tunawajua walivyo
Pia pole sana
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Kuna alarm 🚨 systems zinauzwa Alibaba, zinatumia solar, ni vidogo ila wapuuzi wakikaribia tu usiku kinapiga kelele za kufa MTU. Lazima utaamka tu. Vinauzwa pesa ndogo kama dollar 10 hiviHabari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch..
Mkuu, kijiko kizima si atakudondoke hapo hapo, muache akadondokee mbeleNusu kijiko itatosha kweli?!
Unaweza weka picha? Au naweza check Alibaba.Kuna alarm 🚨 systems zinauzwa Alibaba, zinatumia solar, ni vidogo ila wapuuzi wakikaribia tu usiku kinapiga kelele za kufa MTU. Lazima utaamka tu. Vinauzwa pesa ndogo kama dollar 10 hivi
Huku Mbeya , wanakijiji wanakula kuku na mbuzi kuliko mimi mwajiriwaHa ha ha ha hawapi huko?


Hizi zinapatikana wapi na gharama ni shilingi ngapUnaweza weka sensa za milango na madirisha... au mtu akipita tu eneo ambalo hutaki basi itapiga kelele
Unasema ukweli mkuu?!Uongo huu..hao walikuwekea security fake. Ile waya inapiga shoti ya hayari na alarm mtaa mzima wataamka. Na seting yake umeme ukiondolewa kwa njia yoyote inapiga alarm hakuna namna wanaweza kufanya kwenye fence ya umeme...
Mwizi haji hovyo hovyo, anajua mazingira yote na huenda aliwahi ingia ndani ya nyumba mchanaCCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa...
Wanakijiji ni washamba hawawezi jua kuwa zile ni kamera .CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa...

Kwann usiseti timer yaani iwe active kufanya hiyo command muda ule ambao unataka.Hapa kwenye kupiga picha hii nimeona mara nyingi ubaya sasa inapiga picha hadi mtu wa hapo hapo, stupid yaan mtu ni wa hapo hapo CCTV lnapiga picha kila mda inapiga picha
Pole sanaDar hii hii. Nikitaja nitafungua codes. Issue yangu ili-trend mitandaoni
Sasa wewe hujui Dunia ina inchi zaidi ya 100+, kwann kusiwe na screen yenye at least inches 70 ili uweze kuiona Dunia yote.Nyie ndo wakulaumiwa kwa kuwakaribisha wezi. 70 inch TV ya nini?