funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,650
- 21,485
Dar hii hii. Nikitaja nitafungua codes. Issue yangu ili-trend mitandaoniMkuu wapi huko.
Dar hii hii. Nikitaja nitafungua codes. Issue yangu ili-trend mitandaoniMkuu wapi huko.
AsalamalekoSiku nimkamate mwiz ndan kwangu nitachimba shimo namfukia mzima mzima...
Mbwa wako hawajapewa mafunzo ndugu.CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.
Mbwa wanasaidia sana ingawa nao wanaweza kupigwa sumu dk 5 tu chali. Mie niliibiwa gari nina mbwa, camera, electric fence, ukuta kozi 11, geti la umeme na alarm ila wajinga walifanya yao na mbwa wote wanne walikufa kwa sumu.
Wezi wakipania hawakukosi
Uongo huu..hao walikuwekea security fake. Ile waya inapiga shoti ya hayari na alarm mtaa mzima wataamka. Na seting yake umeme ukiondolewa kwa njia yoyote inapiga alarm hakuna namna wanaweza kufanya kwenye fence ya umeme, labda hiyo uliwekewa ya buza kwa mama kibonge. CCTV camera za sasa hivi kazi yake sio tu kuchukua picha unaweka demarcation mtu akivuka tu eneo ulilozuia ina piga picha,alarm kubwa na inakupigia simu kukuamsha.CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.
Mbwa wanasaidia sana ingawa nao wanaweza kupigwa sumu dk 5 tu chali. Mie niliibiwa gari nina mbwa, camera, electric fence, ukuta kozi 11, geti la umeme na alarm ila wajinga walifanya yao na mbwa wote wanne walikufa kwa sumu.
Wezi wakipania hawakukosi
Nina mke sipigi puri...Usijichukulie sheria mkononi plz
Hapa umeongea kweli tupu, mbwa hamna kitu, mlinzi wakimkuta km wapo wengi wanamfyeka ingawa kwa mlinzi angalau akiwaotea atapiga hata filimbi kushta watu, majirani, sungusungu wa karibu na walinzi wengine waliopo maeneo ya karibu waje kutoa msaadaCCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.
Mbwa wanasaidia sana ingawa nao wanaweza kupigwa sumu dk 5 tu chali. Mie niliibiwa gari nina mbwa, camera, electric fence, ukuta kozi 11, geti la umeme na alarm ila wajinga walifanya yao na mbwa wote wanne walikufa kwa sumu.
Wezi wakipania hawakukosi
Ya Buza kwa mama kibongeUongo huu..hao walikuwekea security fake. Ile waya inapiga shoti ya hayari na alarm mtaa mzima wataamka. Na seting yake umeme ukiondolewa kwa njia yoyote inapiga alarm hakuna namna wanaweza kufanya kwenye fence ya umeme, labda hiyo uliwekewa ya buza kwa mama kibonge. CCTV camera za sasa hivi kazi yake sio tu kuchukua picha unaweka demarcation mtu akivuka tu eneo ulilozuia ina piga picha,alarm kubwa na inakupigia simu kukuamsha.

Mkuu ile waya ndio inapiga shot na Ina umeme mkali Ila jua kua kuna Chuo Cha wezi na wanapata mafunzo makali hadi jinsi ya kuchokoa zile waya zisifanye kazi na mafunzo hayo wanayapokea kutoka kwa hao hao wenye makampuni ya kufunga waya za electric kwenye majumba ya watu kwa hio zile waya sio kituUongo huu..hao walikuwekea security fake. Ile waya inapiga shoti ya hayari na alarm mtaa mzima wataamka. Na seting yake umeme ukiondolewa kwa njia yoyote inapiga alarm hakuna namna wanaweza kufanya kwenye fence ya umeme, labda hiyo uliwekewa ya buza kwa mama kibonge. CCTV camera za sasa hivi kazi yake sio tu kuchukua picha unaweka demarcation mtu akivuka tu eneo ulilozuia ina piga picha,alarm kubwa na inakupigiai simu kukuamsha.
Wakati mwingine inategemea na eneo unaloishi, pia nyumba za kupanga nazo zahitaji eneo lililo salama zaidi na hao sungusungu si wakutegemea kivile japo wanapunguza.Mimi walinipiga Samsung mwezi wa 12
Hapa kwenye kupiga picha hii nimeona mara nyingi ubaya sasa inapiga picha hadi mtu wa hapo hapo, stupid yaan mtu ni wa hapo hapo CCTV lnapiga picha kila mda inapiga pichaCCTV camera za sasa hivi kazi yake sio tu kuchukua picha unaweka demarcation mtu akivuka tu eneo ulilozuia ina piga picha,alarm kubwa na inakupigia simu kukuamsha.
Hapana apo kwenye electric fence nakataa labda aliefunga hana huo utaalamu mkuuCCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.
Mbwa wanasaidia sana ingawa nao wanaweza kupigwa sumu dk 5 tu chali. Mie niliibiwa gari nina mbwa, camera, electric fence, ukuta kozi 11, geti la umeme na alarm ila wajinga walifanya yao na mbwa wote wanne walikufa kwa sumu.
Wezi wakipania hawakukosi
Nishakujua mkuu we si ndio jamaa walikufanya mbaya ya mwaka,Dar hii hii. Nikitaja nitafungua codes. Issue yangu ili-trend mitandaoni
Hizo electric fence na CCTV camera wezi wanajua kuzichezea sema tu wasikuamulie, hizo sio kitu kwa mwizi alieamua kukuibiaKwa ushauri wangu funga uzio wa umeme kwenye ukuta wako funga na cctv camera wizi utakua historia kwako ingia mitandaoni watafute wataalamu wapo kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Now days zipo GPS unaiweka ndani ya TV na unauwezo wa kutafuta na kuipata kama vile simu ilioibiwaHuu wizi umerudi kwa kasi, last week walibeba nchi 70 kwangu nakurupuka kuuliza uliza na jirani yangu nae kapigwa usiku huo huo. Sijui wanatumia dawa gani washenzi hawa.
Utawaonaje wakati wamefunika sura? Hivi wezi unajua sio vibaka? Na jambazi sio mwizi si unaelewa?Kwenye camera uliwaona wezi wako waliokuibia?
Usikute mke wako alichora ramani na hao wezi.CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.