BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,616
- 2,983
Nondo zilikuwa za unene ganiHabari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.
Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.
Kiukweli hii hali inaumiza sana.
Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.