Msaada kutokomeza wezi?

Msaada kutokomeza wezi?

aQ
Yes yes unakatia bima mkuu, mfano watu wengi wanapohamia maeneo mapya huibiwa sana
Ubaya umeongezeka sana,
katia bima kila kitu chako unachoona ni cha thamani, hata ikitokea balaa bima wakurudishe ulipokuwa,
Iwe simu, TV, friji na chochote unachoona hiki wahuni wakipita nacho nitadata
Ndio hivyo tu mkuu
Mbona unarahisisha mambo makubwa yawe mepesi, uibiwe halafu bima wakulipe, sawa inawezekana, ila sasa ukichukua mwenyewe ukauza, au kivyovyote vile watakulipaje, tupe elimu ya namna watakavyokulipa.
 
Huna picha zake ndugu? Mimi nazitaka ili wanakijiji waseme mimi mchawi
Ingia tu Alibaba andika security sensors. Hizo hapo. Ni za solar ni nzuri maana zinapiga kelele
Screenshot_2023-04-09-18-27-16-907_com.alibaba.intl.android.apps.poseidon.jpg
 
Ishi na wana/majirani vizuri mtaani kwako hao huwa wanawajua wezi. Kama unaishi kivyako pambana na halo yako.
Mimi niliibiwa jaba kubwa lakutekea maji ya mvua j3,nikakaa kimya nikitrace kuwa ni nani haswa nikamhisi dogo flani kwa kuwa huwa tunafahamiana na kweli ni yeye,nikamtembelea kijiweni kwake nikamwita na kumuuliza kiupole ila akaanza kunipa hadithi nikampa ndoige pembeni ya pua akapata akili,akaona huyu jamaa kumbe sivyo anavyoonekana,nilikuwa mwenyewe kumdhibiti kibaka. Akaenda kuonesha jaba lilipouzwa nikachukua mzigo wangu nikamtema tu.
 
CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.

Mbwa wanasaidia sana ingawa nao wanaweza kupigwa sumu dk 5 tu chali. Mie niliibiwa gari nina mbwa, camera, electric fence, ukuta kozi 11, geti la umeme na alarm ila wajinga walifanya yao na mbwa wote wanne walikufa kwa sumu.

Wezi wakipania hawakukosi
Itakua hawakuja siku moja hao, walikuja wakafail wakaja tena, wakarudi, inawezekana mara ya nne ndio wamekuibia
 
Habari za leo wanajamvi?

Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.

Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.

Kiukweli hii hali inaumiza sana.

Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.

Mzee weka Alarm System. Wakisogea tu kitu Alarm inapiga kelele wanasepa wenyewe.
 
Mtu unajiita taekwondo halafu unakuja kulialia humu nakuomba msaada namna gani yakuzibit wezi Kesha siku tatu tu utawakamata hao mbwa vunja shingo.
 
Wanataka challenge na wewe, naskia unajifanya unajua kupiga mateke
 
CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.

Mbwa wanasaidia sana ingawa nao wanaweza kupigwa sumu dk 5 tu chali. Mie niliibiwa gari nina mbwa, camera, electric fence, ukuta kozi 11, geti la umeme na alarm ila wajinga walifanya yao na mbwa wote wanne walikufa kwa sumu.

Wezi wakipania hawakukosi
We utakuwa ulisahau kufunga geti
 
Mtu unajiita taekwondo halafu unakuja kulialia humu nakuomba msaada namna gani yakuzibit wezi Kesha siku tatu tu utawakamata hao mbwa vunja shingo.
Jamaa wanapuliza dawa mkuu..hakuna unachosikiaa
 
Ndio maana sina tv geto. Simu naweka kwenye foronya ya mto kabla ya kulala. Nina kale karedio ka "ze blutus divais" vibaka wakija geto huwa wanaishia kuchukua viatu na mtungi wa gesi. 😂😂😂
Walishaiba viatu na mtungi wa gesi kama mara nne.
 
Back
Top Bottom