Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..).
MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi chache. Mtandao wa sImu ninaotumia kwa sasa, wanakifurushi cha kimataifa cha World ambacho hakisadifu jina lake bali utapiga sImu kwa nchi kama nane tu. Na ukijiunga vocha ya sh 5000 unapata kama dakika 5 tu.